Matunda ya "demokrasia" kenya inashuhudia vifo zaidi ya 16 kutokana na maandamano

Matunda ya "demokrasia" kenya inashuhudia vifo zaidi ya 16 kutokana na maandamano

Hii ni aibu kubwa kwa wote wanaopigania ule uhuru usio na mipaka au heshima.
Hii ni demokrasia gani inayoleta maafa na chaos?
Nakubaliana na wewe. Kuna mambo ya kipumbavu sana wazungu wanayo na kisa wana hela wanamaendeleo ya vitu basi tunafikiri maendeleo yao yamesababishwa na "demokrasia".

Na kwa jinsi waafrika tulivyo wajinga basi tunafikiri demokrasia ni kuwavimbia watawala na kuandamana na kupiga mayowe na kuchoma matairi barabarani.
 
Unataka kuaminisha watu kuwa demokrasia sio nzuri au?
Kumbuka kuwa humu wapo wabobezi kwelikweli! Ni vyema uende ktk ukoo wenu ukusanye wapuuzi wenzio uwaambie haya!
 
Kuna demokrasia na kuna vurugu,Ile ya kenya ni vurugu zinazofanywa kwa mgongo wa demokrasia.Ndo maana wameishia kuibiana vitu kwenye maduka kuharibu miundo mbinu na kuuana bila hoja yoyote ya msingi yakuwafikisha uko.
 
Mimi nawapongeza Wakenya kwa demokrasia yao iliyokomaa. Na nawashauri ikiwezekana wawe wanaandamana kila wiki na itapendeza kila siku hiyo ya maandamano vifo viwe vinaongezeka ili kuendelea kukuza na kuimarisha demokrasia nchini mwao!!!
 
Hii ni aibu kubwa kwa wote wanaopigania ule uhuru usio na mipaka au heshima.
Hii ni demokrasia gani inayoleta maafa na chaos?
uliingia ikulu watu wakikushangilia tena wengine wanakubeba kwenye mkokoteni, hakuna aliyetolewa damu wala kamasi, sasa unanganganiaje ikulu? kwanini upige watu risasi ili ubaki ikulu? hata kagame hajapiga mtu risasi abaki ikulu japo aliingia kwa mtutu, mbebeni kwa mkokoteni mumpeleke mliko mtoa
 
na tanzagiza ndani ya wiki watu > 50 wameuliwa kwa ajali za gali, hata tu salamu za rambi rambi ktk kwa wakuu wa nchi hakuna, ni kama sisimizi tu wamekufa, no one cares …
 
Back
Top Bottom