Haha! kweli hayapatikani mkuu hiyo ya pili sio apple ni peachMkuu apple mbona lipo daily
Mh! apple halipo hapo hilo kama apple ni peachLabda iyo strawberry tu, na hayo katunda damu ni msimu, apple ni uongo au ushamba wako
Dah Ww sio tuu kwamba unaishi mjini bali unaishi masaki kabisa 😂Mkuu apple mbona lipo daily
Haya namba 3 watu huyaita matunda damu. Haya hupatikana kwa wingi sana huko Dar kipindi cha msimu wake.Haya matunda ukiwa mjini unaweza usiyale miaka kadhaa.
View attachment 3409272View attachment 3409273View attachment 3409274
Kiswahili hicho,au wew sio mtz? Talali kwa lugha nyingneLabda nazijua ila sio kwa hii lugha yenu
hata hizo strawberry mitaa kkoo zipo za kutoshaLabda iyo strawberry tu, na hayo katunda damu ni msimu, apple ni uongo au ushamba wako
Mkuu kila nikipita mjini nayaona mengi tu na uwa nanunua moja kwa jeroDah Ww sio tuu kwamba unaishi mjini bali unaishi masaki kabisa 😂
Oyaaaa 🤣Straw berry sawa ila hayo mengine kila siku mfano hayo mafyulisi