Are u serious huyu amewekewa au ameweka mwenye....khaaaaa dunia yangu mbuna unazunguka na kuwafanya wengine wapate kizunguzungu! TCRA kwa hili wameshindwa kutekeleza majujumu yao.
Habari za usiku Wanajamvi.
Jamani hizi status za whatsapp zinaniacha hoi naona kama ladies wameona ndo sehemu za kupigana vijembe, majigambo na kutukana ingawa kuna nyingine zinafurahisha na kufundisha pia.
Hata hivyo kuna nyingine zinahuzunisha na nyingine zipozipo tu.
jamani this is social nwtworks tustaarabike haya mambo ya hovyo hovyo na yanayohusu individual yawe treated individually pia.
Mfano hebu check hizi:
1."Asipokuwepo kwako yupo kwangu"
2."Humpi vikamtosha ndo maana anakuja vinakomchosha"
3."Sura mbaya, tabia mbaya, umbo bayaaaa labda sokwe ndo akutake"
3."Huna utamu una utelezi"
4."Unaolewa au unasindikiza?"
5."Toroka uje"
6."Yupo kwangu"
7."Mbona hujamkata kiu"
Karibuni kwa mjadala.
Denial and helpless state hapo.Ni stress na ushamba...hasa ukimuacha mwanamke akawa anabadili status kutwa..hadi huruma...
Thamani yangu kwako sikuiona.hujunionesha...hukunieleza...nakuacha nikiamini hunihitaji tena...until naingia watsap ndo najiuliza kumbe was I that relevant to you?why ubadili status badala ya kunionesha while nipo na wewe?Now nimeona how cruel you are, kumbe uliniacha ili niumie eeh?
Halafu nikiumia ndio ujue wewe ni wa thamani kwangu??????
Kukosa uvumilivu na mahali pakukimbilia tu ,mtu anajikuta ameshajivua nguo mwenyewe.Nakubaliana na wewe kabisa....ila wanaofanya hivyo hawagundui kuwa wanayafanya maisha yao tamthilia,kila kinachoendelea katika maisha yake watu wanakuwa wanajua..
Now nimeona how cruel you are, kumbe uliniacha ili niumie eeh?
Halafu nikiumia ndio ujue wewe ni wa thamani kwangu??????
Kuna moja hapa......
Lady ameweka picha ya boyfiend wake afu status ina sema "Tuko wangapi?"
Jamani hz status acheni tu!
status na picha nyingine ni hatari hebu sevuni hiyo namba halafu muanmuangalie 0754559095
muone sodoma na gomola yaja jamani!
Kukosa uvumilivu na mahali pakukimbilia tu ,mtu anajikuta ameshajivua nguo mwenyewe.
Ni stress na ushamba...hasa ukimuacha mwanamke akawa anabadili status kutwa..hadi huruma...
Hahaha mkumbatie bana, siyo vizuri na sisi tukakisikia kilio chake.Hayuko broken hearted sijamuacha...yuko in love and happy..
eti 'kuliko kukupa wewe, bora nikampe jogoo aidonoe'