Matumizi ya simu katika Mahusiano

Matumizi ya simu katika Mahusiano

Kwa kweli inanipa wakati mgumu sana wa maisha hata cjui what will be da end of thz in ma mind?
 
Mkiambiwa ngoma za kiswazi tuachieni wenyewe mnasema oo tunawabania; unaona sasa?
 
Niamini kaka Masikini_Jeuri kuwa kuona ni kuamini
coz yamenitokea sasa namini maduu wa uswazi kweli noma ila pia na elimu inachangia coz some of wakishua wanatabia hizo hizo.
 
acha niwe mkweli. Nimecheka kweli badala ya kusikitika... Pole mdau! Dah huyo xgirl wako nomaa, ana manenooo!
 
Ni siku ambayo sitoweza kuisahau pale nilipokuwa a mpenzi wangu kisha Girl wangu wa Zamani ambaye tuliachana miezi ninne iliyopita ikiwa pia ni miezi miwili tu tangu kuwa na mpezi wangu huyo,yule x-Girl wangu alipopiga simu na kwa lengo la kunijulia hali kwani hatukuwa tumeachana kwa ugomvi, lakini Girl wangu mpya alianza kuhoji baada ya malumbano ya muda mrefu akafikia k uamuzi wa kumpigia simu.
Ndipo balaa likaanza huku akiwa ameweka sauti ya nje (loud speaker) mambo yalikuwa hivi:-
New one: Unampigia simu kwani ni nani wako
X-Girl: Muulize mwenyewe ananijua kama wewe ndo unakula mimi nimeshakinai
New one:sasa kama umekinai kwanini unaendelea si utatapika?
X-Girl: jamii itakucheka wewe unachimba shimo kwa kidole?
New one:unamaanisha nini wacha kuongea mafumbo
X-Girl: Bwana kwa mwanaume gani huyo ana uume ndogo kama kidole cha mwisho?
New one:kwani kipindi uko nae hukuuona?
X-Girl:Nilikuwa nakula pesa tu na kama nawe uko kwa ajlil hiyo sema nikupe mbinu?
New one:mbinu ya nini mimi nafurahia penzi kwa raha zangu
X-Girl:hakuna penzi hapo hajui kitu na kaduke kenyewe kanatoka toka mimi nilikuwa nampa moyo kisha nakwenda kwingine ku...
hata yeye mwenyewe nilishawahi kumwambia na kanifumania mara kibao,nimempatia dawa hadi za kichina hakuna kitu hapo.

kwa kweli wana jf nilijisikia vibaya sana nikaamua kumpokonya yule binti simu kisha.
binti akatoka nje baada ya dakika chache akaingia na kuanza kunipa moyo.
Lakini hadi leo wakati wa utamu najihisi vibaya.
icon6.png

Mshukuru Mungu kwa uumbaji wake, hata kama cha kwako ni kama kidole cha mwisho ukikitumia vizuri bado utaonekana ni hotcake na rijali. Hivyo usiogope
 
Thanks a lot kaka kwa kunipa moyo.
Hii inanifanya nikiamini kidole changu.
Si wanasema
udogo wa pua sio wingi wa kamasi.
Leo nimeamini sasa.
Na kama wana jf wangekuwa wananipa ushaur kama wako nijawa na faraja na kuona thamani ya KA-KIDOLE Kangu.
 
Kwanza pole, pili jifunze kuwa simu yako ni yako sio yenu, tatu mfundishe huyo bibie mpya asipokee simu yako wala kusoma sms zako hata kama simu ameishika yeye. La sivyo hamtafika mbali

Ni siku ambayo sitoweza kuisahau pale nilipokuwa a mpenzi wangu kisha Girl wangu wa Zamani ambaye tuliachana miezi ninne iliyopita ikiwa pia ni miezi miwili tu tangu kuwa na mpezi wangu huyo,yule x-Girl wangu alipopiga simu na kwa lengo la kunijulia hali kwani hatukuwa tumeachana kwa ugomvi, lakini Girl wangu mpya alianza kuhoji baada ya malumbano ya muda mrefu akafikia uamuzi wa kumpigia simu.

Ndipo balaa likaanza huku akiwa ameweka sauti ya nje (loud speaker) mambo yalikuwa hivi:-

New one: Unampigia simu kwani ni nani wako
X-Girl: Muulize mwenyewe ananijua kama wewe ndo unakula mimi nimeshakinai
New one:sasa kama umekinai kwanini unaendelea si utatapika?
X-Girl: jamii itakucheka wewe unachimba shimo kwa kidole?
New one:unamaanisha nini wacha kuongea mafumbo
X-Girl: Bwana kwa mwanaume gani huyo ana uume ndogo kama kidole cha mwisho?
New one:kwani kipindi uko nae hukuuona?
X-Girl:Nilikuwa nakula pesa tu na kama nawe uko kwa ajlil hiyo sema nikupe mbinu?
New one:mbinu ya nini mimi nafurahia penzi kwa raha zangu
X-Girl:hakuna penzi hapo hajui kitu na kaduke kenyewe kanatoka toka mimi nilikuwa nampa moyo kisha nakwenda kwingine ku...
hata yeye mwenyewe nilishawahi kumwambia na kanifumania mara kibao,nimempatia dawa hadi za kichina hakuna kitu hapo.

kwa kweli wana jf nilijisikia vibaya sana nikaamua kumpokonya yule binti simu kisha. binti akatoka nje baada ya dakika chache akaingia na kuanza kunipa moyo. Lakini hadi leo wakati wa utamu najihisi vibaya.
icon6.png
 
Kaka jiamini tu hapo,kuna wengine wana shaft kama miguu ya watoto lakini hawazai.............kazi za hiyo kitu ni kukojoa na kuzalisha tu.Huyo akiaanza dharau mtie mimba.
 
Ni siku ambayo sitoweza kuisahau pale nilipokuwa a mpenzi wangu kisha Girl wangu wa Zamani ambaye tuliachana miezi ninne iliyopita ikiwa pia ni miezi miwili tu tangu kuwa na mpezi wangu huyo,yule x-Girl wangu alipopiga simu na kwa lengo la kunijulia hali kwani hatukuwa tumeachana kwa ugomvi, lakini Girl wangu mpya alianza kuhoji baada ya malumbano ya muda mrefu akafikia uamuzi wa kumpigia simu.

Ndipo balaa likaanza huku akiwa ameweka sauti ya nje (loud speaker) mambo yalikuwa hivi:-

New one: Unampigia simu kwani ni nani wako
X-Girl: Muulize mwenyewe ananijua kama wewe ndo unakula mimi nimeshakinai
New one:sasa kama umekinai kwanini unaendelea si utatapika?
X-Girl: jamii itakucheka wewe unachimba shimo kwa kidole?
New one:unamaanisha nini wacha kuongea mafumbo
X-Girl: Bwana kwa mwanaume gani huyo ana uume ndogo kama kidole cha mwisho?
New one:kwani kipindi uko nae hukuuona?
X-Girl:Nilikuwa nakula pesa tu na kama nawe uko kwa ajlil hiyo sema nikupe mbinu?
New one:mbinu ya nini mimi nafurahia penzi kwa raha zangu
X-Girl:hakuna penzi hapo hajui kitu na kaduke kenyewe kanatoka toka mimi nilikuwa nampa moyo kisha nakwenda kwingine ku...
hata yeye mwenyewe nilishawahi kumwambia na kanifumania mara kibao,nimempatia dawa hadi za kichina hakuna kitu hapo.

kwa kweli wana jf nilijisikia vibaya sana nikaamua kumpokonya yule binti simu kisha. binti akatoka nje baada ya dakika chache akaingia na kuanza kunipa moyo. Lakini hadi leo wakati wa utamu najihisi vibaya.
icon6.png

Pole sana bro but nasikia wamasai wako safi sana kwa dawa za uume so jaribu hapo, Pili jaribu na ujifunze romance za ukweli hasa jinsi ya kunyonya chuchu, lips na kwenda chumvini utamfikisha tu huyo new grl wako, pia karibu kusoma vitabu na website za love story.....dont worry hilo sio tatizo kubwa so jikubali na ujiamini.
 
Ni siku ambayo sitoweza kuisahau pale nilipokuwa a mpenzi wangu kisha Girl wangu wa Zamani ambaye tuliachana miezi ninne iliyopita ikiwa pia ni miezi miwili tu tangu kuwa na mpezi wangu huyo,yule x-Girl wangu alipopiga simu na kwa lengo la kunijulia hali kwani hatukuwa tumeachana kwa ugomvi, lakini Girl wangu mpya alianza kuhoji baada ya malumbano ya muda mrefu akafikia k uamuzi wa kumpigia simu.
Ndipo balaa likaanza huku akiwa ameweka sauti ya nje (loud speaker) mambo yalikuwa hivi:-
New one: Unampigia simu kwani ni nani wako
X-Girl: Muulize mwenyewe ananijua kama wewe ndo unakula mimi nimeshakinai
New one:sasa kama umekinai kwanini unaendelea si utatapika?
X-Girl: jamii itakucheka wewe unachimba shimo kwa kidole?
New one:unamaanisha nini wacha kuongea mafumbo
X-Girl: Bwana kwa mwanaume gani huyo ana uume ndogo kama kidole cha mwisho?
New one:kwani kipindi uko nae hukuuona?
X-Girl:Nilikuwa nakula pesa tu na kama nawe uko kwa ajlil hiyo sema nikupe mbinu?
New one:mbinu ya nini mimi nafurahia penzi kwa raha zangu
X-Girl:hakuna penzi hapo hajui kitu na kaduke kenyewe kanatoka toka mimi nilikuwa nampa moyo kisha nakwenda kwingine ku...
hata yeye mwenyewe nilishawahi kumwambia na kanifumania mara kibao,nimempatia dawa hadi za kichina hakuna kitu hapo.

kwa kweli wana jf nilijisikia vibaya sana nikaamua kumpokonya yule binti simu kisha.
binti akatoka nje baada ya dakika chache akaingia na kuanza kunipa moyo.
Lakini hadi leo wakati wa utamu najihisi vibaya.
icon6.png

pole..kwani ndo ulivo?
 
Pole kaka ila usijali sana jua tu huyo X Gal nae kaongea kwa wivu,unajua sisi wanawake tuna wivu sana ,sasa kaona wenzie anafaidi thats why kajifanya kuleta kashfa,kama alikuwa afaidi anapiga simu za nini?
Huyo ni malaya tu na kicheche,si ajabu yeye ndio ana shimo kubwa
We endelea tu kula tunda na new gf tena kwa confidence kubwa maana sisi huwa tunapenda mwanaume mwenye confidence zaidi
 
Du honest nashukuru sana kwa ushauri pia nafurahi kusoma opinion ya dada Green imenifariji sana ingawa cjasema zakwenu sio.
Huenda yule x ni wivu kwa kukosa kamashine kalikokuwa kanamfariji pia najitahidi sana kuromance b4 na huwa nanyonya kila eneo co chumvini tu bali hata bomba la maji taka.
Kifupi najua amemic coz what am doing najua ni guyz wachache tunafny co so rahic kumpata wa kumfanyia.
 
ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi,kaza buti imma1 onyesha maujuz na kipisi mpk mupenz akubali
 
lately naona wapenzi walilalamika kuhusu wapenzi na simu...either ni kwamba mpenzi hatumi sms au kuhusiana na kucheki simu ya umpendaye

sasa kuhusiana la la kwanza kabla ya simu sii mapenzi yalikuwepo na pia watu walikuwa wanakuwa na mahusiano ya kimapenzi...vipi sasa kuwe na msisitizo wa mpenzi kukutumia sms au akupigie??

kuhusiana na la pili...kama mtu unampenda una haki ya kucheki simu yake ili ujue kama unaibiwa au lah na pia kama mtu huna la kificha kwa nini uogope mpenzio kushika simu yako??
 
mie nashika simu yake bila tatizo ila tusipende sana kuchezea simu ni hatari kwa afya zetu. Nalog off
 
wapenzi au waume wengine vimeo bora uachena nayo ukichunguza unaweza ukazimia utakayo ya kuta...
 
kuhusiana na la pili...kama mtu unampenda una haki ya kucheki simu yake ili ujue kama unaibiwa au lah na pia kama mtu huna la kificha kwa nini uogope mpenzio kushika simu yako??

kama khali ndiyo hii .............................call it a day and minimize losses by moving on...............................una thamani zaidi ya hiyo...................
 
La kwanza, zamani watu walikuwa wanaandika barua, cheki hapa chini ujionee ...

barua.JPG

La pili hakuna tatizo kushika simu ya mkeo wala yeye kushika ya kwako. Ila kama kuna hali ya kutokuwa waaminifu ndo kaugomvi huanza. Kwa nini uwe na hofu na simu kama kila kitu kipo sawa?
 
La kwanza, zamani watu walikuwa wanaandika barua, cheki hapa chini ujionee ...

View attachment 40322

La pili hakuna tatizo kushika simu ya mkeo wala yeye kushika ya kwako. Ila kama kuna hali ya kutokuwa waaminifu ndo kaugomvi huanza. Kwa nini uwe na hofu na simu kama kila kitu kipo sawa?

Ahahahahaaaah!! hiyo ishu ya barua kitambo kweli...
 
Back
Top Bottom