Hata wiki 1 haijatimia mkuu!!
Hapo vipi kuna ndoa kweli??
mmmh,hiyo kali,maybe hakupewa kitchen party ya kutosha,ndoa hata wiki haijatimia,ndoa ikiwa changa,mwanamke unakuwa na unyenyekevu mbele ya mume wako,muhimu amfahamishe kistaarabu,maybe huyo dada atamuelewa