Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
Mi nimejaribu kutoa comment yangu tu
Mi nimejaribu kutoa comment yangu tu
Ha ha ha ha ha haaaaMweee jamanii
Laki tano kwa mwezi, kuna kodi ya nyumba, kuna watoto wanasoma, kuna matumizi mengine km sabuni, mafuta,mavazi nk.Nataka nijue kipato chako kwa mwezi ndipo tufanye mahesabu. Kama ni biashara ukiuza 50000 kwa siku labda faida ni 15000 hakikisha usile zaidi ya nusu ya faida hapo utatoboa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha utani.Mbona chai bei kubwa hivyo au maeneo gani mkuu. Punguza kula la sivyo utakuwa maskini
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania huko...............Wapi huko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa namna hiyo utakaribisha vidonda vya tumbo ambavyo utavitibu kwa gharama kubwa.Hiyo mbona kwangu kubwa sana
Chakula mchana napiga pasi ndefu
Vocha 500 mb optional.
Maji ya bomba
Chkula ucku 2500
Kwa hiyo nasevu kama sh 7000 kwa nini nisijenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisa,wengi waishio uswazi ukiwaangalia utawaona wana afya ya kuyumba kumbe sababu njaa.Mnaoishi Dar mna njaa
Utatoboa ikiwa utaacha matumizi kwa vitu visivyo vya lazima kama chai badala yake kula chakula cha mchana mapema. Vocha sio lazima na badala yake mwenye shida na wewe atakutafuta yeye. Nauli sio matumizi ya lazima na badala yake utembee kwa miguuNimeamka asubuhi nina elfu kumi mfukoni , sasa hesabu yake sasa :-
Chai kwa mama niwekee. 1,500/=
Nikatoka kwenda mjini nauli. 1,000/=
Nikala mchana huko mjini. 2,500/=
Nikanunua vocha 1,000/=
Nikanunua maji 600/=
Nimerudi nikanunua bando (MB) 1,000/=
Sasa nina chenchi 2,400/=
Nawaza kula cha jioni na maji pia ya kunywa.
Nitatoboa kweli???
Sasa hapo unawaza nini? Piga wali ndondo 1000/- maji ya kandoro 1000/- hapo umebaki na nauli ya kwenda kwenye mishemishe.Nimeamka asubuhi nina elfu kumi mfukoni , sasa hesabu yake sasa :-
Chai kwa mama niwekee. 1,500/=
Nikatoka kwenda mjini nauli. 1,000/=
Nikala mchana huko mjini. 2,500/=
Nikanunua vocha 1,000/=
Nikanunua maji 600/=
Nimerudi nikanunua bando (MB) 1,000/=
Sasa nina chenchi 2,400/=
Nawaza kula cha jioni na maji pia ya kunywa.
Nitatoboa kweli???
Mkuu kuna watu wanakunywa maji ya bombani Dar hii wengi sana!Kama ni maji ya Moshi au Arusha sawa utakunywa ya bombani hata yakikaa mwezi mzima...
lakini haya ya Dsm utabeba Amoeba na typhoid tupu plus kemikali.
Kumbe unafamilia? Kunywa chai nyumbani. Beba kiporo kama lunch. Maji beba kutoka nyumbani kwenye chupa ya kilimanjaro. Dinner unakula nyumbani. Hapo matumizi yako ni nauli tu.Laki tano kwa mwezi, kuna kodi ya nyumba, kuna watoto wanasoma, kuna matumizi mengine km sabuni, mafuta,mavazi nk.
hahhahahhahhaahha....
Labda kwa sehemu chache, kuna mshkaji wangu hakuwahi kuishi huku juzi tu alikuja akakaa wiki 2, alikuwa hachemshi maji ya kunywa sasahv tayari ana Typhoid.Mkuu kuna watu wanakunywa maji ya bombani Dar hii wengi sana!
Hahahaha hapana mkuuWe mkurya nn,..
Kidogo sasa!Mnaoishi Dar mna njaa
Mjumbe pambana na hali yako tena kwa wakati kama ambapo taifa halina baba wala mama ndio kabisa. Jibane bane tu. I can feel yo pain.