[emoji3] [emoji3]Chai 1000, launch 1500, dinner 1500, maji 500, vocha 500. Jumla 5000. Siku imeisha nauli tembea kwa miguu
Sent using Jamii Forums mobile app
brain is the beautiful part of the body.
[emoji3] [emoji3]Chai 1000, launch 1500, dinner 1500, maji 500, vocha 500. Jumla 5000. Siku imeisha nauli tembea kwa miguu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa pesa hana halafu anakula kwa raha hivyo
Na pia kwa kuongezea asinunue chakula ajipikie mwenyewe ili kupunguza gharama zaidi na Mara nyingine atembee kwa miguu afanye mazoezi
😀😀😀kunywa chai zile za kutembeza andazi mia mia chai mia mia hata hamsini unapewa ,chai ya mia mandazi ya mia tatu...kwenye 1500 unasevu 1100
😀😀😀MKUU MATUMIZI YAKO NI YA KIPATO CHA KATI. HONGERA SANA.
Na usiku je ,,ale muhindi wa kuchoma na limaoHaha...hahaha
Chai ulitakiwa unywe 1000.
Nauli 1000
Mchana 2000
Maji bombani
Bando jiunge la chuo 1500 kwa wiki
Jumla 5500 unabaki na 4500 ukijumlisha na 1500 za bando za week nzima utakuwa na zaidi ya 5000 ukiwa bado haujala usiku.
Wapi huko?kunywa chai zile za kutembeza andazi mia mia chai mia mia hata hamsini unapewa ,chai ya mia mandazi ya mia tatu...kwenye 1500 unasevu 1100
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] +pilipiliNa usiku je ,,ale muhindi wa kuchoma na limao
Haha hiyo 5500 anatoa 1500 anakula siku ya kwanza ya pili anakula ya vocha...Na usiku je ,,ale muhindi wa kuchoma na limao
Pigs Chai heavy mchana piga deshiNimeamka asubuhi nina elfu kumi mfukoni , sasa hesabu yake sasa :-
Chai kwa mama niwekee. 1,500/=
Nikatoka kwenda mjini nauli. 1,000/=
Nikala mchana huko mjini. 2,500/=
Nikanunua vocha 1,000/=
Nikanunua maji 600/=
Nimerudi nikanunua bando (MB) 1,000/=
Sasa nina chenchi 2,400/=
Nawaza kula cha jioni na maji pia ya kunywa.
Nitatoboa kweli???
Kahonge utatoboaNimeamka asubuhi nina elfu kumi mfukoni , sasa hesabu yake sasa :-
Chai kwa mama niwekee. 1,500/=
Nikatoka kwenda mjini nauli. 1,000/=
Nikala mchana huko mjini. 2,500/=
Nikanunua vocha 1,000/=
Nikanunua maji 600/=
Nimerudi nikanunua bando (MB) 1,000/=
Sasa nina chenchi 2,400/=
Nawaza kula cha jioni na maji pia ya kunywa.
Nitatoboa kweli???