Na pia kwa kuongezea asinunue chakula ajipikie mwenyewe ili kupunguza gharama zaidi na Mara nyingine atembee kwa miguu afanye mazoeziHaha...hahaha
Chai ulitakiwa unywe 1000.
Nauli 1000
Mchana 2000
Maji bombani
Bando jiunge la chuo 1500 kwa wiki
Jumla 5500 unabaki na 4500 ukijumlisha na 1500 za bando za week nzima utakuwa na zaidi ya 5000 ukiwa bado haujala usiku.
Mweee jamaniiUtatoboa tu. Kula Hata ugali na Picha ya samaki ukutani
Jamaa pesa hana halafu anakula kwa raha hivyoMkuu umemaliza kila kitu!
[emoji23] mkuu...labda mpaka apotelewe na nauli ndio atajua maana ya WINGAAsubuhi usinywe chai, chakula cha mchana kula katikati ya "asubuhi na mchana", chakula cha usiku unakula baina ya jioni na usiku.
Punguza bundle, 1000 kwa siku ni kubwa mno. Mengine utajiongeza kadri mazingira yalivyo, sometimes nauli unaweka mfukoni "unaua winga" una-pretend upo evening walk [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hhahahah walah nimecheka khaaa
We umewahi???Utatoboa tu. Kula Hata ugali na Picha ya samaki ukutani
Ni kweli , ataingia gharama mwanzoni kununua vitu ila baada ya muda matumizi yatapungua.Na pia kwa kuongezea asinunue chakula ajipikie mwenyewe ili kupunguza gharama zaidi na Mara nyingine atembee kwa miguu afanye mazoezi
Kama ni maji ya Moshi au Arusha sawa utakunywa ya bombani hata yakikaa mwezi mzima...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa budget hii tena utapaulia kigae.Hiyo mbona kwangu kubwa sana
Chakula mchana napiga pasi ndefu
Vocha 500 mb optional.
Maji ya bomba
Chkula ucku 2500
Kwa hiyo nasevu kama sh 7000 kwa nini nisijenge
Sent using Jamii Forums mobile app
teh teh teh maana hamna namna sasa
Nimependa faraja yakoUtatoboa tu
Mpaka aoe,.. Wanawake tu wanajua kubalance 5000 kwa siku na change ikabaki
Wewe jamaa una matumizi mabaya sana! Vocha 1500/= kwa juma.Nimeamka asubuhi nina elfu kumi mfukoni , sasa hesabu yake sasa :-
Chai kwa mama niwekee. 1,500/=
Nikatoka kwenda mjini nauli. 1,000/=
Nikala mchana huko mjini. 2,500/=
Nikanunua vocha 1,000/=
Nikanunua maji 600/=
Nimerudi nikanunua bando (MB) 1,000/=
Sasa nina chenchi 2,400/=
Nawaza kula cha jioni na maji pia ya kunywa.
Nitatoboa kweli???