Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,223
- 18,383
Nitawezaje kuacha mkuu! Maana mimi matumizi mengine yapo vyema tu! Tena chini kuliko yako!ukiondoa gharama za usafiri (kwenda na kutoka kazini)ambazo zinanikwangua almost 4000 kila siku! Tatizo langu kubwa Ni hilo la bia!! Kwanza siwezi kusitisha siku bila kubugia japo mbili! Baada ya kunywa ndipo sasa matumizi mengine nyemelezi hujitokeza!! Kama nitakufa masikini basi chanzo ni bia! Msaada please!Niliacha mkuu, enzi zile nikinywa sasa hata mende watavamia mdomo wangu. Niliishasahau.