young arrogant
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 267
- 439
Basi lina Axle 2 hadi 3 ila malori ya axle hadi 7
Hivyo basi huchukua muda mfupi kupima kuliko lorry
Pia thamani na umuhimu watu ni mkubwa kuliko mizigo..
Thus mabasi yanapewa kipaumbele...
Hivyo basi huchukua muda mfupi kupima kuliko lorry
Pia thamani na umuhimu watu ni mkubwa kuliko mizigo..
Thus mabasi yanapewa kipaumbele...
Umeshawahi kujiuliza kwanini kwenye mizani mabasi yakikuta malori , mabasi hupima kwanza hata Kama yamekuta malori?
Lakini pia malori yana uzito mkubwa sasa kwenye baadhi ya madaraja hayawezi kuhimili uzito huo hasa yakiwa marefu sana