white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,317
- 13,282
Unaposema lori una manisha lipi? Kwani haya ya tani 20-30 mbona hapo Tazara yanapita tu juu ya daraja? Hata sasa ninapo andikaa hilo jingine linapitaaa, hayo bakkhesa?Ndugu zangu Tanzania tunatumia pesa nyingi kujenga flyover na madaraja ,lakini kwanini malori hayaruhusiwi kupita juu ya madaraja husika? Nitatoa mfano,
1.Daraja la mfugale-Malori hayaruhusiwi?kwanini?
2.Ubungo nayo--Malori yatatakiwa kupita chini...kwanini?
3.Daraja la kigongo busisi--Malori yataendelea kupita kwenye fell licha ya kutumia billion 700..
Jamani anomben sababu ya kwanini malori hayarushusiwikupita kwenye madaraja husika??