Ndugu zangu Tanzania tunatumia pesa nyingi kujenga flyover na madaraja, lakini kwanini malori hayaruhusiwi kupita juu ya madaraja husika?
Nitatoa mfano,
1. Daraja la Mfugale Malori hayaruhusiwi. Kwanini?
2. Ubungo nayo malori yatatakiwa kupita chini. Kwanini?
3. Daraja la Kigongo Busisi malori yataendelea kupita kwenye fell licha ya kutumia billion 700.
Jamani naombeni sababu ya kwanini malori hayaruhusiwi kupita kwenye madaraja husika?