Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Sasa umesema nini. Kuingiza hoja za kijinga tu. Home of great thinkers my foot. So stupid. Mnaonekana kabisa sasa mbinu za kijinga. Kwani Lissu unayemshabikia kafanya nini singida. Watu mkitumwa ongeza na akili zako
Ila ile ya vichwa vya tren mlitengeneza bonge la movie.
 
sawa kwa akili zako , lakn umejiuliza kwann sasa. kwann haikua kupindi cha mkapa wala Jk. ok sawa ni sinema , je yule mwandishi wa mwananchi ataachia lini movie yake?? na ben saa nane kaenda mwezini?? hebu twambie mawazo alipo??

je Sugu kajifunga gerezani??

bila shaka ukiona machozi ya wengi jua kuna ajali kila mtu analia msiba wake. sasa ww naona hata jiran yako hajampata ya bongo subiri yakupate
 
Unaonaje ukienda polisi ukatoa maelezo hayo ??
 
Eti ulimsikia akiongea na mtu mwenye sauti ya kike! Huu uongo mwingine haufai. Yaani mtu unasema alikuwa anajificha halafu aongee kwa loud speaker apange makutano. Danganya wajinga wenzio. Yaani alishindwa kuwasiliana naye kwa njia ambayo watu wenye masikio marefu kama wewe wasisikie?
 
Adi watu ndani ya basi wakakaa attention kumckiliza[emoji23][emoji23]
 
Ujenzi wa flyover, no zaidi ya tukio LA kutengeneza, kuzindua hospitali ambao haina wauguzi na facilities nyingine pia tukio LA kutengeneza
 
Adi watu ndani ya basi wakakaa attention kumckiliza[emoji23][emoji23]
Huyu jamaa amezidi kulamba viatu. Mtu sober hawezi kuandika haya aliyoyaandika. Au anadhani zawadi imetangazwa ili ajaribu bahati yake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa umesema nini. Kuingiza hoja za kijinga tu. Home of great thinkers my foot. So stupid. Mnaonekana kabisa sasa mbinu za kijinga. Kwani Lissu unayemshabikia kafanya nini singida. Watu mkitumwa ongeza na akili zako
Kwahiyo cku hizi kama hujafanya kitu kwenu ndio unastahiri kufa ???? Ww umefanya nn kwenu mbona bado uko hai ebu jikiteni kwenye mada acheni kutuchanganyia mafile hapa
 
Wameanza kujificha kwa mjomba siku zijazo hao ndio watakuwa watekaji ili lawama ziende kwa serikali!!
 
YANI tatizo sio michezo.. Tatizo ndio tabia ya serikali hii.. Kwani miaka ya zamani mbona kulikuwa na kesi za watu kutekwa lakini Serikali ilikuwa haibebeshwi lawama kila kesi..!??? Sasa siku hizi ukisikia hata Kuna Ng'ombe imetekwa yani serikali lazima ilaumiwe kwanza...[emoji49][emoji49][emoji49][emoji49]
 
Matukio ya kutengeneza indeed!
​
 
Mmemtupa mafinga alfu umekuja mbio mbio kufungua uzi humu. Hta la lissu si mlsema la kutengeneza. ROma naye mlisema ivyo ivyo wanahram nyie.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…