Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,228
- 44,428
Hii inaonyesha JK haangalii jamii inasemaje juu ya uovu wa watendaji wake
Mpita Njia heshima mbele mkulu,
kwanini serikali wasitangaze position kama hizi kwenye vyombo vya habari, then watanzania wenye vigezo watume maombi (CVs), na baada ya hapo wa subcontact kampuni kama PWC au Deloitte and T wawafanyie usaili na ku-short list majina kama matatu ili serikali wachague mtu wanayemtaka, tatizo liko wapi?..mimi nadhani kuna watanzania wengi tuu ambao wanauwezo wa kazi kama hizi.
MJ
Utendaji wa mtu unategemea Mfumo(System) uliopo kwenye organization husika.Mpita Njia heshima mbele mkulu,
kwanini serikali wasitangaze position kama hizi kwenye vyombo vya habari, then watanzania wenye vigezo watume maombi (CVs), na baada ya hapo wa subcontact kampuni kama PWC au Deloitte and T wawafanyie usaili na ku-short list majina kama matatu ili serikali wachague mtu wanayemtaka, tatizo liko wapi?..mimi nadhani kuna watanzania wengi tuu ambao wanauwezo wa kazi kama hizi.
MJ
Shida yangu siyo madaraka ya Rais katika kuteua Wakurugenzi and the like.Mkuu, nduio maana kuna hili vuguvugu la madai ya mabadiliko ya katiba. Moja kati ya vitu vinavyotakiwa kubadilishwa ni kama hivi. lakini huu (uteuzi wa wakurugenzi) unaweza kuwa mfano mdogo kuonyesha mamlaka makubwa ya rais. Mabadiliko ya katiba yanataka kugusa masuala mengi ya msingi yanayolenga kupunguza madaraka ya rais kwa sababu kwa jinsi katiba ilivyo, kama rais ataamua kutekeleza ipasavyo madaraka yake kwa mujibu wa katiba hiyo, rais wetu hatokuwa na tofauti kubwa sana na dikteta.
Narudia kusema tena; "Wasomi Wetu Ndio Hao Hao...mnataka Rais achague kutoka wapi?"
Tulioko nje hatutaki kurudi..!!
Utendaji wa mtu unategemea Mfumo(System) uliopo kwenye organization husika.
Walionekana Non-performers, hao hao wakienda kwenye organization zenye system nzuri performance zao zinameet organizastion's expectations or zina exceed the same.
Tujiulize mbona tuna wasomi wengi?,wakipewa hizo nafasi wanashindwa kudeliver.
Wengi wanakuwa hodari kukosoa wanapokuwa nje, tumewapa mashirika na wizara wameshindwa.
TATIZO SIYO MATAKA.
NI SYSTEM zilizopo kwenye mashirika yetu ambazo siyo result-oriented.
Dont speak for all of us..wengine tunataka kurudi..serikali iwe na hr departments zenye uwezo na zenye kujua shule za ukweli huku nje na waruhusu tutume cv waone kama wote hatujarudi!
System ndo inatupa mawazo ya kubaki huku.
Narudia kusema tena; "Wasomi Wetu Ndio Hao Hao...mnataka Rais achague kutoka wapi?"
Tulioko nje hatutaki kurudi..!!
Kuna jamaa angu mmoja iwa ananiambia cheka na kila mtu itafika kipindi utakula nao vizuri tu utakuwa unapigiwa mapande tu....unachafua hapa unakabidhiwa kitengo kingine ndo uzuri wa kucheka na watu vizuri.