Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson amefanya ziara katika kata ya Ilomba ambapo amewatembelea na kuwapa tabasamu watu wenye ulemavu na wanaoishi kwenye mazingira hatarishi.
Dkt. Tulia amekabidhi...
Matonya amesema "inamuumiza sana na siwezi kuisema kiukubwa lakini naweza kusema hiyo picha mbaya ya ubakaji ndio inaniumiza zaidi kwa kweli walioamua kuiweka hivyo au kuipanga hivyo mpaka ikanikuta nipo kwenye gereza la Shimo La Tewa nimelaani vikali sana na Mwenyezi Mungu namuomba sana...
Mwimbaji wa Tanzania Matonya ameachiwa huru kutoka gereza la Shimo La Tewa lililopo Mombasa, ambako alikuwa akishikiliwa kwa takriban siku 20 kufuatia tuhuma za ubakaji.
Msanii huyo, ambaye amekanusha vikali tuhuma hizo, amepewa dhamana baada ya kutimiza masharti ya bondi ya shilingi 500,000 za...
Wakati Msanii mkongwe wa Bongo Flava kutoka nchini Tanzania, Sefu Shabani, maarufu kama Matonya akiendelea kushikiliwa na mkono wa sheria huko nchini Kenya, ndugu wa karibu anayefahamika kama Omary ambaye yuko nchini Kenya ameelezea kukwama kwa mawasiliano na kuomba msaada wa haraka kutoka kwa...
Tanzanian musician Sefu Shabani, better known by his stage name Matonya, has been detained in Kenya after being accused of rape.
According to a statement released on X by Kenya's Director of Public Prosecutions (DPP), the 43-year-old disputed the charge when he appeared in court in the seaside...
Aliyeimba nyimbo vaileti ameshikwa kenya kwa kosa la kunajisi msichana .Angenunua papuchi badala ya kunajisi wauzaji(kahaba) ni wengi na bei ni kati ya 200 to 2000 za kenya.Sasa huenda atafungwa miaka mingi kama 20.
Msanii wa Bongo Flava kutoka Tanzania, Matonya, amekamatwa na kufikishwa mahakamani mjini Mombasa akituhumiwa kwa kosa la unyanyasaji wa kijinsia, katika kesi iliyozua mjadala mkubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Matonya, ambaye jina lake halisi ni Sefu Shabani Ramadhan, alifikishwa mbele...
Msanii wa Bongo Flava, Matonya (Sefu Shabani Ramadhan), amefunguliwa mashtaka ya ubakaji mjini Mombasa, Kenya kufuatia tukio linalodaiwa kutokea Aprili 7, 2026.
Matonya, anayejulikana kwa nyimbo kama “Vaileti” na “Anita”, alikanusha mashtaka hayo mahakamani na kuachiwa kwa dhamana ya shilingi...
Mmiliki wa mgodi wa Ikombo Hill uliopo katika Kijiji cha Matonya, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Bi. Doreen Kissia, ameibuka kuwa mfano wa kuigwa katika sekta ya uchimbaji wa madini ya shaba, akiwa mwanamke pekee anayeongoza mgodi unaotoa ajira kwa zaidi ya asilimia 98 ya wakazi wa vijiji vya...
Hii nyimbo kwa wanao ifahamu ilikuwa nyimbo ya maana sana. Anasema Bado ni kiza na marashi ya dunia hayasikii anajihisi yupo kuzimu anaishangaa sayali hii, iliyojawa wanasiasa, Vicheche na wasanii. Kuna jumbe nyingi sana na ata mwalimu Nyerere huko aliko lazima yupo anashangaa sana kuhusu hii...
Kama unajijua kuwa huwa unapandwa na pressure unapoona Sandakalawe basi huu uzi unakuhusu kwa asilimia 100.
FACT - Ewe Matonya! Usipende vya bure tambua kuwa wenzako hizo vocha wamezitafuta kwa jasho na kufanya kazi.
Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Shanghai nchini CHINA 🇨🇳
Masterplan ya Tanga kuitawala Bongo Flava, ilianza kwa kutambulisha silaha yao ya maangamizi "Matonya", ambaye kinyonge, alilia “Uaminifu” akimshirikisha Bwana Misosi.
Jamhuri yote ya Bongo Flava ilisaluti talanta ya Matonya. Halafu akapotea masikioni mwa watu. Tanga ikachekwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.