kesi ya ubakaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nilimuambia; achague kumrudia mke wake au tumfungulie kesi ya Ubakaji. Ukatili kama huu haukubaliki

    NILIMUAMBIA; ACHAGUE KUMRUDIA MKE WAKE AU TUMFUNGULIE KESI YA UBAKAJI. UKATILI KAMA HUU HAUKUBALIKI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. WIki hii nilipokea simu ya binti mmoja mwenye miaka 23. Hivi alijitambulisha anawatoto wawili. Akaniambia anasoma makala zangu ingawaje zimejaa ubabe na...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Vipimo vya Kimatibabu Kwenye Kesi ya Ubakaji: Umuhimu na Madhaifu Yake

    Kipimo sahihi na kikuu cha kisheria na kimatibabu kwenye kesi ya ubakaji ni uchunguzi wa kina wa kimatibabu (Medical Examination) unaofanywa na daktari aliyeidhinishwa, akitumia fomu maalum ya serikali inayojulikana kama Fomu ya Polisi Namba 3 (PF3). Uchunguzi huu unahusisha ukaguzi wa mwili...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Matonya: Nimelaani vikali kupewa kesi ya ubakaji

    Matonya amesema "inamuumiza sana na siwezi kuisema kiukubwa lakini naweza kusema hiyo picha mbaya ya ubakaji ndio inaniumiza zaidi kwa kweli walioamua kuiweka hivyo au kuipanga hivyo mpaka ikanikuta nipo kwenye gereza la Shimo La Tewa nimelaani vikali sana na Mwenyezi Mungu namuomba sana...
  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hatimae Vijana wa CHADEMA waliopewa kesi ya UBAKAJI na CCM washinda dhuluma

    Yale MASHETANI YA CCM KWA KUTUMIA MASHETANI YA POLISI YAMEAIBIKA THOUGH KWA KUCHELEWA Wanachama wa CHADEMA, Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga, wakazi wa kata ya Dutwa, Wilaya ya Bariadi, walihukumiwa kitumikia kifungo cha maisha gerezani. Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga walikuwa mawakala wa...
  5. Knock life

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaweza kukupa kesi ya ubakaji so kuweni makini vijana.

    Popote unapokaa usimuhurumie mwanamke au kujenga nae mazoea . Hii ni kwa vijana ambao hamjaoa so stay alerts Wakizikosa hela zako the next step utapewa kesi ya ubakaji n.k Hawa viumbe wamechafukwa.
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Diamond akiendelea kula kuku wakienyeji atakuja kubambikiwa kesi ya ubakaji

    Unaacha wanawake kariba ya Zari unaenda kudeti na kuku wa kienyeji asiyemudu hata kulipa kodi ya chumba sebule Tabata. Mwanamke mjinga asiyejua kalenda zake,mwanamke unatoka nae bongo mpaka South Africa kumbe yuko period hata hajui gharama ulizotumia kwa tiketi ya ndege na hotel. Kuna siku...
  7. X

    JamiiForums Tanzania Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

    Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party. Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter...
  8. babukijana

    JamiiForums Tanzania Mbape kwenye kesi ya ubakaji Stockholm

    Mbappe kaenda zake kula bata,na team nzima washauri,walinzi,madoctor atabaka saa ngapi? Akimtaka binti yoyote yule in didy style hamna atae mzuia.
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza

    Wakuu, Naona tunaenda kufanyiwa maigizo tena na kuna mtu anataka kulindwa. Eti uchunguzi umebaini vijana wale hawakutumwa na 'afande na kwamba vijana wale walikuwa kama wavuta bangi tu na yule binti alikuwa kahaba! Mpaka utambulisho wa moja wao umebainika halafu leo maneno yanageuzwa hivi...
Back
Top Bottom