Matoleo mbalimbali ya simu za Nokia katika picha

Matoleo mbalimbali ya simu za Nokia katika picha

1101 ilikuwa mwaka 2007, mama yangu alininunulia nilipoenda A level Tunduru Secondari. Yakale ni dhahabu
 
IMG-20251214-WA0041.jpg
 
Simu sura ngumu, Mzee wangu alitumia Siemens C35, badae Nokia 3310(jeneza) badae nokia N95(hii ninayo mpaka leo)

Check ilivyokuwa nzuri, simple and beautiful kuliko simu vitochi za sasa hivi.
View attachment 3394091
Nakumbuka mzee ali-program kipande cha wimbo wake pendwa kama ringtone kwenye hii Siemens.

Nilicheza game ya maze humu.
 
Back
Top Bottom