Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 2,545
- 5,781
Mwaka 2006 nilitumia sana hiyo inaitwa Nokia jeneza. Wale wenye Nokia ndogo walikua wakinicheka eti simu yangu kubwa sana.
We ni zaidi ya shetani 😈,mchawi, kigagula, WIZANGA.Hahahaha. Basi sawa Ila siku nikikuzukia ulipo usije ukaniita shetani😋
Best of them all, kitambo ubunifu ulikuwa mwingi sana, kila simu ilikuwa tofauti, hamuwezi kufanana. Ukiacha NOKIA, Sony Erickson, na Motorola walikuwa vizuri sana.
Ila Phillips Savy na Sagem za kifaransa walichemsha vibaya sana yale matoleoBest of them all, kitambo ubunifu ulikuwa mwingi sana, kila simu ilikuwa tofauti, hamuwezi kufanana. Ukiacha NOKIA, Sony Erickson, na Motorola walikuwa vizuri sana.
Noma! Bora zimekuja smartphoneZina challenge zake mtandaoni
Mara nyundo
Mara imepigwa risasi haijapenya 😂
3310, ilikuwa ina vibration fulani amazingJe ulishawahi kutumia zipi kati ya hizi?
Simu sura ngumu, Mzee wangu alitumia Siemens C35, badae Nokia 3310(jeneza) badae nokia N95(hii ninayo mpaka leo)Ila Phillips Savy na Sagem za kifaransa walichemsha vibaya sana yale matoleo
Twanga pepeta.. Ziliuza sana hili toleoSimu sura ngumu, Mzee wangu alitumia Siemens C35, badae Nokia 3310(jeneza) badae nokia N95(hii ninayo mpaka leo)
Check ilivyokuwa nzuri, simple and beautiful kuliko simu vitochi za sasa hivi.
View attachment 3394091
Twanga pepeta ni Siemens C25, hiyo ya kwenye picha ni C35.Twanga pepeta.. Ziliuza sana hili toleo