Matoleo mbalimbali ya simu za Nokia katika picha

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,882
Reaction score
828,452
03313c92-bde5-47fc-92f5-a9a575ae5ca7.jpeg
 
Kweli the old is Gold nimekumbuka six button hapo by that time bei za sm Kama hizo zilikuwa 150K-200K ulikuwa ukikosa unakimbilia Philips hiyo ndo ungepata kwa 80-90K

Na wazazi wahaya akinunua ananunua na ile Kamba ananingiza katika shingo na ikifika jioni simu inatolewa nje inaninginizwa ndani ili kuweka usalama

The old is gold I miss those era
 
Oya we muhuni wa zamani, ushakunywa mbege!? Mbona kuna siemens humo ndani!!!

Hapo nimetumia aina nyingi saana the best katika picha kwangu ilikuwa n95 ila kuna ile ya Eseries sijui ni 72 ile sikimbuki vizuri, inaslide pembeni hivi simu ilinikonga moyo saana.
Nimetumia nokia nyingi kuliko smartphone zote nikijumlisha kwa pamoja.
 
Wababa wa elfu 2000 hao😁😁
Msamehe tu
 
Kweli the old is Gold nimekumbuka six button hapo by that time bei za sm Kama hizo zilikuwa 150K-200K ulikuwa ukikosa unakimbilia Philips hiyo ndo ungepata kwa 80-90K

Na wazazi wahaya akinunua ananunua na ile Kamba ananingiza katika shingo na ikifika jioni simu inatolewa nje inaninginizwa ndani ili kuweka usalama

The old is gold I miss those era
Six button ilikuw inawakawaka kama king'ola au ambulance.
 
Oya we muhuni wa zamani, ushakunywa mbege!? Mbona kuna siemens humo ndani!!!

Hapo nimetumia aina nyingi saana the best katika picha kwangu ilikuwa n95 ila kuna ile ya Eseries sijui ni 72 ile sikimbuki vizuri, inaslide pembeni hivi simu ilinikonga moyo saana.
Nimetumia nokia nyingi kuliko smartphone zote nikijumlisha kwa pamoja.
Oyaa unasomeka wapi muda huu😂 kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani.. Hivyo usishangae kumuona Siemens humo🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom