Matokeo ya V yametoka sasa......

wapi Mndengereko na mtu muhimu J.lee come pande hizi uokoe jahazi Excel hakumbuki V day alikuwa na nani

dah so bad leo nilikuwa nimetoka nimeenda porini huko ndani ndani hakuna hata netiweki mpk mada ishapoa ila waache waseme tu hao #teambazazi dawa yao ipo jikoni introduction ya #teamrafiki ilikuwa trailer tu sasa wasubiri picha kamili tunakuja kuumaliza kabisa ubazazi humu jamvini
cc : Ntuzu utafiti Mr Rocky kabanga miss chagga Mokoyo Mentor Tized mwallu miss neddy Excel mwekundu na #teamrafiki woooote.
 
Last edited by a moderator:

Pole kwa majukumu mkuu ila mchana tulikuepo na kina mwallu na huyu Excel inabidi tuunde tume maana asije kumshawishi miss neddy akatuharibia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…