Matokeo ya V yametoka sasa......

OK guys, all is well.. life must go on..! mwallu.. got to read that.. life must go on!!

niko namsikiliza don moen na don williams.. i hope you them! missing you, i will never be free.. nice song for sure!

Kwa taarifa yako Excel hizo nyimbo dadangu mwallu hata hazimbariki!Sana sana ungesema unasikiliza,"Kando ya mito ya Babeli ndipo tulipoketi,wa kwaya ya Moyo safi wa Bikra Maria ,Unga Limited Arusha hapo kidogo unaweza kueleweka!Au unasikiliza wimbo wa "Uchungu kama Upanga,ukachoma moyo wa mama Maria" ukizingatia kwaresima hii
 
Last edited by a moderator:
watu wamekimbia mada kabisa aisee!!!

till the rivers run dry... Don Williams!
 
aisee..umenikumbusha mbali jamanu..sunday school tuliimba huo wimbo kwenye sherehe ya watoto...asante sana
 
Last edited by a moderator:
aisee mfungo mwema Excel...kwaresma hii nyimbo za injili ndio muda wake

mwallu unaujua ule wimbo wa we should be together wa Don Williams?

its a nice song my friend.. we should be one side to side.. we should be together!

if i can help you... huu wimbo mzuri sana!! unafariji sana ukiusikiliza!
 
aisee..umenikumbusha mbali jamanu..sunday school tuliimba huo wimbo kwenye sherehe ya watoto...asante sana

Jamani mwallu sherehe ya watoto wimbo huo?Si mgeimba ule wa "Watoto wa majumbani njooni tuungane,tuwalilie wazazi chozi la damu,tupaze sauti zetu za majonzi na kwikwi,wachache wenye huruma watatusiki.Haki ya malezi bora tumenyang'anywa,ohoo dunia dunia........."Mara ya kwanza kuusikia mbona machozi yalinitoka!
 
Last edited by a moderator:
mwallu unaujua ule wimbo wa we should be together wa Don Williams?

its a nice song my friend.. we should be one side to side.. we should be together!

if i can help you... huu wimbo mzuri sana!! unafariji sana ukiusikiliza!

Duhh Excel unatisha!Ndo maana nikasema dadangu mwallu hasikubali PM!Mkuu una mistari!
 
Last edited by a moderator:
Duhh Excel unatisha!Ndo maana nikasema dadangu mwallu hasikubali PM!Mkuu una mistari!

sungura1980, haya bana.. i hope mwallu hatonielewa vibaya!
mwallu is my best friend... she is my shell sometimes.. i know am bad, but she must be my bed swim!

credit ..! don williams... you are my best friend! si maneno yangu direct hayo!
 
Last edited by a moderator:
sie tulikuaga tunaimba nyingi nyingi..inategemea na mood ya mwalimu wetu
 
Last edited by a moderator:
kwaresma hii,umefunga?
mwallu unaujua ule wimbo wa we should be together wa Don Williams?

its a nice song my friend.. we should be one side to side.. we should be together!

if i can help you... huu wimbo mzuri sana!! unafariji sana ukiusikiliza!
 
dont worry about me...i know how to take good care of myself...hasa mbele ya watu kama Excel...

sister.. kwanini una mashaka na mimi? naomba angalau 45 live talk minutes with you.. tuondoe hii kasoro!!

nadhani itakuwa vyema sana...
 
ongea hapa hapa
...
sister.. kwanini una mashaka na mimi? naomba angalau 45 live talk minutes with you.. tuondoe hii kasoro!!

nadhani itakuwa vyema sana...
 
mwallu nipe muda! nahisi kuchanganyikiwa kwa furaha hapa nilipo!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…