watu wanaambiwa mtu kabadilika! baaaado tu wanasema wewe ni bazazi!
qudadeki.. jamabazi kuu akiudhiwa kinatokea nini mwekundu??
.
ndo hapo nilipojua we bazazi
we bazazzi tuuu we bazazi
dont panic mimi napenda mtu kama wewe dunia nzima ya jamii forum ikishakukataa come to me i wll show them they lost star one ....ucihofu una jeshi kubwa
ahaaa!! ulinikubali au ulisemaje?
jisahaulishe tena qudadeki!
Mwanamke au mtoto umleavyo ndivyo akuavyo?
Nilishastaafu mkuu.
hamna!! tunasema mwanamke umleavyo.. yani ukishaoa qudadeki sasa pale unapomtreat mkeo... si ndivyo atakavyokua?
aisee nipe uzoefu mkuu!!
nahitaji working experience nijenge CV bora kabisa!!! nimeonja pabovu!!
hapa angalau umeanza kuongea vitu vya maana