Matokeo ya udiwani kata 23 (Oktoba 2, 2011)

wakuu...wakati tukisubiri dakika tu ili chadema itangazwe rasmi kama washindi wa ubunge igunga tayari mgombea wa udiwani wa chadema kata ya masekelo manispaa ya shinyanga bw.mfuko ametangazwa mshindi wa kata hiyo iliyoachwa wazi na marehemu shelembi magadula kwa kujinyakulia kura 1501 dhidi ya 587 za mgombea wa ccm bi rashida rajamu..
Kwa matokeo hayo ya zaidi ya 72% chadema imefanikiwa kutetea kiti chake kwa ushindi wa kimbunga..
Kazi kwenu magamba..
Nawasilisha
mugumu tayari chadema imeshinda niko mwanza but nina tarifa za uhakika ......peoples..............
 
Hicho kiti awali kilikuwa chini ya chama gani? itakuwa afya mkiweza kutuandalia list ya chaguzi zote na matokeo ya udiwani zilizofanyika leo.

Awali kiti kilikuwa kinashikiliwa na marehemu Ryoba Charles wa CUF na sasa kimechukuliwa na Mwl. Marwa Ryoba wa chadema.

Sasahivi mjini mugumu ni full shangwe.
 
ndo maana kanda ya kati ni masikin,coz hawataki mabadiliko!!achen mgando wa fikra na hofu ya kimtazamo!badiliken
mbona Musoma kuna mabadiliko ya uongozi lakini hakuna maendeleo? Angalia rorya ya wakati ule marando, mwibara ya mutamwega, musoma mjini ya Vicent nyerere, hamia kigoma Kigoma ya Zitto,nenda mpanda mpanda ya arfi na mengine mengi tu. tarime ya chacha wangwe na mwera.
 
huko ndo wapi halafu mbona hamna maelezo yoyote? Kuwa muwazi zaidi
 
Tunaomba source na data mkuu,ila kama ndivyo,Mungu apewe sifa,hapo Endasaki Nagu ndo mbunge na Sumaye ananyumba hapo,ila CDM tuna mbunge wa viti maalum anaitwa kamanda Rose Kamili
 
hivi msikiti wa Qaddafi uko mkoa gani?
Upo Butiama mwitongo kwa muasisi wa Tz. Au unajua wa Dodoma peke yake. Dont b shallow please. Tena aliujenga gaddafi kabla babu hajafariki na akaufungua mwenyewe kama zawadi kwa wazanaki.
 
Safiiiiiiiiiiii sana Hao wattu wa Hanang nao wamechoka hicho chama cha Magamba, bora kijifie tu tukizike
 
watu wa Njombe siku zote nawatilia shaka sana. bado,,but time will tell
Yaani kwenu CDM isipochaguliwa mnakuwa na wasiwasi na wananchi wa eneo husika? njombe ipo juu sana kimaendeleo. watu wake hawachezi pool table asubuhi,hawakai vijiweni bila kazi ndio wanaoishika Kariakoo kwa sasa. na wanahamia Mwanza sasa, msiwadharau wana vichwa si mchezo.
 
kwa mujibu wa zitto kwenye twitter anadai chadema kimeshinda hanang,monduli na serengeti
 
Back
Top Bottom