Daffi Jr
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 3,824
- 909
wana jf, nipo tarime huku uchaguzi mdogo wa udiwani ccm wameshinda chadema wanalia na mbunge wao ester matiku, huku nyangwine akishangilia na wafuasi wa ccm nyumbani kwake...kule rorya mpaka sasa ccm wamechukua kata moja na chatema moja, bado kata moja tunasubiri, kule serengeti mgumu chatema wameshnda...singinda ccm wameshnda...igunga mpaka sasa ccm wanaongoza kata 13 chadema kata 4....duh mapipo hoi mpaka sasaivi...nawasilisha
Ushuzi wa maharage yaliyochacha!