mashikolomageni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 1,570
- 193
Nguvu ya umma !!!
Nalala juu ya bati
katika Uchaguzi mdogo iringa mjini CCM imeshinda viyi vyote viwili, na majengo Njombe CCM kidedea. rorya CCM mshindi.hii ni mvua ya vuli, bado kimbunga 2015, labda ccm wajitoe kwenye kinyang'anyiro kwa kutambua kutokubalika na wananchi
Nalala juu ya bati
Asante sana wakuu. Mnafanya kazi njema kabisa. Tunaomba muendelee kutujuza yanayoendelea huko maana hata na sisi tulio nje ya mipaka tunahitaji kujua yanayojiri huko na hatuna source nyingine zaidi ya JF. Big up wana JF! Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania.Kwa taarifa nilizozipata hivi punde kutoka kwa mtu wangu wa karibu sana.Katika uchaguzi uliokuwa unafanyika wa udiwani wa kata ya stendi kuu Chama cha bemokrasia na maendeleo chadema kimeibuka kidedea baada ya kuwabwaga chini wagombea wenzake wa chama cha Mapinduzi CCM na CUF
Ko kumyitu, CCM jitikulondigwa. Ndaga fijo CDM
Duu ccm inakufa mikononi mwa JK!