Matokeo ya udiwani kata 23 (Oktoba 2, 2011)

Matokeo ya udiwani kata 23 (Oktoba 2, 2011)

Kupoteza ni kujifunza...tukubali na tukajipange upya wanaCDM
 
,kata ya miyomboni-kitanzini iringa mjini imerudi kwa ccm!, kilichowaponza chadema ni kuwa wenzao ccm waliendelea na kampeni za nyumba kwa nyumba kuwahamacsha watu kwenda kupiga kura wakati chadema waliamini watu watakumbuka wenyewe!

Ha ha...na bado..
Jimbo tulilowaazima twalirudisha 2015.
 
watu wa hapa Iringa bado kabisa ila ukweli ni kwamba kila siku usiku mgombea wa CCM alikua akipita kila nyumba na kutoa mlungula,ilripotiwa lakini ikaachwa hewani
 
,kata ya miyomboni-kitanzini iringa mjini imerudi kwa ccm!, kilichowaponza chadema ni kuwa wenzao ccm waliendelea na kampeni za nyumba kwa nyumba kuwahamacsha watu kwenda kupiga kura wakati chadema waliamini watu watakumbuka wenyewe!
usiwe mnafiki na mwongo nlikua Iringa kikazi kipindi hiki na nilifikia maeneo ya Kitanzini kwa ndgu yangu ki ukweli yule mama alikua akipita nyumba hadi nyumba kutoa mlungula, wana Kitanzini wamekwisha mana yule mama amegombea ili kulinda biashara zake haramu
 
Ha ha...na bado..
Jimbo tulilowaazima twalirudisha 2015.

Wewe utoto unakusumbua,kura zenyewe labda ndio umeanza kupiga leo.Nani Aliazimishwa Jimbo kama sio nyie Magamba wazee wa kuchakachua?1995-2000:NCCR Mageuzi walishika jimbo,Mkamnunua Mfwalamagoha na kumfukuza kwenye shule yenu M'Togwa,Tukamuweka Mbalinga Mfune 2000-2005 Mkachakachua live na maana ya kuchakachua Iringa ilianzia hapa,2005 mkamchakachua msigwa.@ 2010 Mmekiona cha moto,Tumekomboa Jimbo letu mnahaha sasa,eti mmetuazima,Kale Pilau la Jesca Kesho,ila baada ya wiki utasikilizia stimu za maisha.VP mbege imeisha barabara-2???Mchiriku mliokuwa mnacheza je?...Nafikiri kuna haja ya kutenganisha Kitanzini iwe kata inayojitegemea na Miyomboni maana Nimekusanya matokeo yote.Stendi,THB,Soko Kuu,Fire Chadema tumeongoza,Uswazi Kitanzini siwezi shangaa chadema kushindwa maana Tamko la Igunga nahisi mmelitumia mpaka huku safi sana tabakwa ushauri wenu wameusikia.Kitanzini oyee KiGUMU chama chenu!!!!!!!
 
nzovwe mbeya chadema halaaa sisiemu wameliwa kichwa teh teh teh
 
Kwani ugomvi sasa hiki ndicho kinachotuangusha wana cdm kwa kuwa na sapota nunda ka huyu kila kitu wataka argument vitu vingine haiitaji ubishi wa kifala tukae tujipange ndio stori za kukamata gari na kurudisha kituo cha polisi ni wema gani huo si bora kuchoma gari moto tujue moja...polisi wote magamba...afu unijibu uone ntajua we ni magamba damu unazuga tu hapa
 
good newz. Sasa nuru na ifanye kaz tuondokane na giza la magamba lililotunyonya tangu uhuru.naamin kwa dalil hiz njia ya ikulu 2015 ni nyeupe.dumisha harakat zako kupitia people'z power daima.let'z our shadow be next to our liberalists and i know that our solidarity will saffocate mafisad'z oppression.
 
ccm imeongoza kwa kura 1025,cdm 237,nccr 3,zilzoharibika ni kura 4, ambao hawajajitokeza ni 2332.CDM imekubali matokeo.
inawezekana kata ya endasaki CDM imeshinda kwa kura 50+
source :katibu mwenezi CDM arusha .
 
mbona Musoma kuna mabadiliko ya uongozi lakini hakuna maendeleo? Angalia rorya ya wakati ule marando, mwibara ya mutamwega, musoma mjini ya Vicent nyerere, hamia kigoma Kigoma ya Zitto,nenda mpanda mpanda ya arfi na mengine mengi tu. tarime ya chacha wangwe na mwera.

hiyo ndiyo tanzania inayoongozwa na ccm, hao uliowataja ni wawakilishi wa wananchi kwa serikali ya ccm inayokusanya kodi. Ukumbuke pia huko kote kuna wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri na watendaji wote!
Na ndio maana tunahitaji overhaul ya uongozi wote
 
Kwa taarifa nilizozipata hivi punde kutoka kwa mtu wangu wa karibu sana.Katika uchaguzi uliokuwa unafanyika wa udiwani wa kata ya stendi kuu Chama cha bemokrasia na maendeleo chadema kimeibuka kidedea baada ya kuwabwaga chini wagombea wenzake wa chama cha Mapinduzi CCM na CUF

Stendi kuu ndio wapi huko taarifa haijatimia ndugu.
 
kujua hali ya kisiasa nchini, nguvu ya chadema, mustakabali wa CUF na jitihada za ccm kujivua gamba ni kwa kuangalia matokeo ya jumla kwa chaguzi zote za madiwani kata 22 na ubunge ili kujua ni nani amenufaika zaidi na uchaguzi huu. naomba wenye matokeo ya udiwani kwa kata mbalimbali aturushie hapa jamvini ili tujaribu kuangalia nani amepanda na nani ameshuka. igunga pekee haiwezi kuwa kipima joto. natoa hoja!
 
endasaki, nyumbani kwa mary nagu na sumaye chadema imeibuka kidedea!
 
Back
Top Bottom