Matokeo ya udiwani kata 23 (Oktoba 2, 2011)

DOCTOR wa Ukweli Mwenyewe Mwenyewe,

Freeman Mbowe, Mzee wa Jeshi la Anga, Kamanda Regia, Kamanda Zitto Kabwe ... Mzee Ndesamburo, Mr II; chonde tunaomba muelewe ya kwamba Wa-Tanzania kote nchini tumedhamiria kuwakabidhini DOLA kuongoza nchi hii wakati wowote ule.

Kama hamuamini bado basi angalieni tulivyoanza kwa kuwapeni idadi ya MADIWANI wa kumwaga kote nchini. Ndio kama hivyo tumeanza kuwakunjisha jamvi CCM taratibu tukianza na upande wa serikali za mitaa na kuja kumalizia kabisa kwenye kuchekecha Bunge zima na kufukuzilia mbali wala-rushwa wote na wale wachapa usingizi.

Pipozzzzzzzzzzzz Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!! !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Enyi Vijana wengine hapo nje tunawakaribishe CHADEMA ikiwa ni pamoja na:

1. Julius Mtatiro
2. Hussein Bashe
3. Benno Malisa
4. Rose Bhanji
5. Jassu
6. Kilango Malecela
7. Ole Sendeka
8. Dr Mwakyembe
9. Deo Filinkojombe
10. Esther Bullaya
11. Nchimbi
12. Nikodemus Banduka
13. Hassan Ngwilizi
14. Wilson Masilingi
15. Ole Njolay
17. RC Mstaafu Shirima
18. Kamanda George Waitara
19. Kamanda Mmboma
20. Mzee Selukindo
21. Fredrick Msuya
22. Fredrick Sumaye
23. Sinde Warioba
24. Salim Ahmed Salim
25. Makongoro Nyerere
26. Mama wa Taifa Mariah Nyerere
27. Mzee Butiku
28. Prof Shivji
29. Prof Mkandara
30. Prof Palamagamba Kabudi .... (the list is NOT exhaustive)

NB: Nafasi zenu stahiki ni CHADEMA; chama alichokibariki Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kabla hajatutoka
 
Kuna kata 1 ya wajane ipo mby mjn c wajane kwa tafsir ya kuondokewa na waume zao bt n wajane wa fikra kuntu,hii kata n majengo
 
DOCTOR wa Ukweli Mwenyewe Mwenyewe,

Freeman Mbowe, Mzee wa Jeshi la Anga, Kamanda Regia, Kamanda Zitto Kabwe ... Mzee Ndesamburo, Mr II; chonde tunaomba muelewe ya kwamba Wa-Tanzania kote nchini tumedhamiria kuwakabidhini DOLA kuongoza nchi hii wakati wowote ule.

Kama hamuamini bado basi angalieni tulivyoanza kwa kuwapeni idadi ya MADIWANI wa kumwaga kote nchini. Ndio kama hivyo tumeanza kuwakunjisha jamvi CCM taratibu tukianza na upande wa serikali za mitaa na kuja kumalizia kabisa kwenye kuchekecha Bunge zima na kufukuzilia mbali wala-rushwa wote na wale wachapa usingizi.

Mbeya, Arusha, Mwanza, Tunduma, Songea, Lugoba, Butiama, Tarime, Bukoba, Njombe, Serengeti, Babati, Kilimanjaro, Singida ... Dodoma kote ni Pipozzzzzzzzzzzz Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!! !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
wana jf, nipo tarime huku uchaguzi mdogo wa udiwani ccm wameshinda chadema wanalia na mbunge wao ester matiku, huku nyangwine akishangilia na wafuasi wa ccm nyumbani kwake...kule rorya mpaka sasa ccm wamechukua kata moja na chatema moja, bado kata moja tunasubiri, kule serengeti mgumu chatema wameshnda...singinda ccm wameshnda...igunga mpaka sasa ccm wanaongoza kata 13 chadema kata 4....duh mapipo hoi mpaka sasaivi...nawasilisha
 
Kwanza hongera kwa CDM na mgombea wao kwa ushindi mzuri kata ya Masekelo Shinyanga.

Pili, tuwe wastaarabu tusichanganye mambo mengi ktk uzi 1.
 
ndo maana kanda ya kati ni masikin,coz hawataki mabadiliko!!achen mgando wa fikra na hofu ya kimtazamo!badiliken
 
Back
Top Bottom