Bakwata wakisikia hilo jina la mshindi wataharisha.
Kinachonifurahisha zaidi mpaka wachungaji wanajua CCM imeexpire . Mgombea wa udiwani Nzowe alikuwa/ni Mchungaji
ile kata ya Majengo imechukuliwa na magamba,lakini Nzovwe we acha tu,ktk vituo 21,mch Mwashilindi kaongoza vyote!daaah hivyo habari njema , haleluyaaaa . . . . . amenia.
vp na ile kata nyinginee
Jimbo la Mbeya Mjini: CCM imeshinda kata ya Majengo, naCHADEMA imeshinda kata ya Nzovwe
Jimbo la Iringa Mjini: CCM imeishinda CHADEMA kwenye kata ya Gangilongana ya Kitanzini.
Wilayani Njombe: CCM imeishinda CHADEMA kwenye kata ya MjiMwema