Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Kata ya Mtibwa
Chadema 3096
Ccm 1372
Cuf 67

aksante Mungu kweli chadema umekomaa, hapa chadema katoa kipigo cha mbwa mwizi kwa chama tawala tena cha wala rushwa na mafisad, tena umepiga mtu uko morogoro, wambea wanadai wewe ni wa kaskazin tu, kweli chadema kawa giant, kumgalagaza ccm si mchezo jamani, sifa kwake cdm
 
m4c inahitaji support ya hali ya juu! Tusilale hadi tuhakikishe 2015 kinaeleweka
Hakuna cha M4C wala nini sasa ni mwendo mdundo wa CCM Halisi. M4C wananchi wa meishutukia wapiga debe wote wanatoka kaskazini wakiongozwa na Juh a Lema, Mawazo, Milyaa wengine mtaongezea hamuwezi kuikomboa nchi kwa kushangilia ushindi wa Arusha na Moshi hakika leo mmepata funzo na hii ni Salaam tosha kwa Zitto Kabwe
 
Hongera CCM - Halisi kwa ushindi mzito na wa kishindo katika uchaguzi wa madiwani hayo ni matokeo kidogo ya ujenzi mpyaa wa chama katika ngazi ya matawi na mashina. Mabadiliko mapya ya CCM Taifa na haya yatatikisa Mafisadi wote na washika pembe wa cdm

Mlikosa rushwa mkapanic kwenye uvccm na leo ndo mnajifanya waasi.
CCM ni sawa na mbwa anayekula kinyesi chake.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hakuna cha M4C wala nini sasa ni mwendo mdundo wa CCM Halisi. M4C wananchi wa meishutukia wapiga debe wote wanatoka kaskazini wakiongozwa na Juh a Lema, Mawazo, Milyaa wengine mtaongezea hamuwezi kuikomboa nchi kwa kushangilia ushindi wa Arusha na Moshi hakika leo mmepata funzo na hii ni Salaam tosha kwa Zitto Kabwe
Aisee unasikisha sana, ccm halisi ndo nini.
In snort ccm ni sawa na mbwa anayekula kinyesi chake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mwendo mdundo upi wa ccm wewe *****? chadema alikuwa anafight kwa kiti chake cha mtibwa na kakipata kwa kishindo, na zaid kachkua kadhaa vya ccm na zaid margin ya ushind wa ccm ni too narrow, hauna mwendo mdundo mmepoteza kata nying ukilinganisha na b4, unajipya jitathmin umeshindwa wap? we gamba
 
Matokeo rasmi yaliyotangazwa usiku huu na msimamizi wa uchaguzi kata ya daraja mbili:
NCCR - 22
TLP ---42
CUF---162
CCM--1324
CHADEMA-2193

Prosper Remmy Msofe wa CHADEMA ametangazwa mshindi wa uchaguzi na msimamizi wa uchaguzi
 
Mkuu umenikumbusha machungu niliyoyakuta Karagwe wiki hii. Nimeambiwa watu walikuwa wananunuliwa kwa kuombwa/kubaddilishana hela na kadi ya kupigia kura. Kadi ilikuwa inarudishwa wiki moja baada ya uchaguzi.Nikatamani kujua endapo tungekuwa na sheria ya kuwa mtu lazima apige kura na kuwa endapo mtu akipoteza kadi kuna walau usumbufu ataupata badala ya haya mauzza uza ya kunyanganywa kadi na kurudishiwa uchaguzi unapoisha. Njaa mwana haramu!!!

na haitoisha kwa buku 5 ikifika 2012 watkua na akili ingine we subiri uone
 
ikifika mwisho utasikia wanaanza kutamba wameshinda kwa kishindo bila kujali wamepoteza kiasi gani ccm bwana ovyo
 
Hakuna cha uimara hapo!wamepoteza kata ngapi?
wewe ulitaka ccm washinde kata zote, hujui slaa atakOSA ruzuku na kushindwa kulea familia yake, democracia inashika mkondo wake lakini sasa ccm chini ya Majemedari Halisi ipo Imara kuliko unavyotarajia, daima tutashinda na kuwaziba midomo waropokaji cdm chini ya wafadhili wao mafisadi
 
Matokeo rasmi yaliyotangazwa usiku huu na msimamizi wa uchaguzi kata ya daraja mbili:
NCCR - 22
TLP ---42
CUF---162
CCM--1324
CHADEMA-2193

Prosper Remmy Msofe wa CHADEMA ametangazwa mshindi wa uchaguzi na msimamizi wa uchaguzi
lowasa alifikiri wananchi nao ni wajumbe wa NEC huko sio?
 
wewe ulitaka ccm washinde kata zote, hujui slaa atakOSA ruzuku na kushindwa kulea familia yake, democracia inashika mkondo wake lakini sasa ccm chini ya Majemedari Halisi ipo Imara kuliko unavyotarajia, daima tutashinda na kuwaziba midomo waropokaji cdm chini ya wafadhili wao mafisadi
CCM mpya na kasi ya ngumi na rushwa poa saana tetea posho mzee
 
Matokeo rasmi yaliyotangazwa usiku huu na msimamizi wa uchaguzi kata ya daraja mbili:
NCCR - 22
TLP ---42
CUF---162
CCM--1324
CHADEMA-2193

Prosper Remmy Msofe wa CHADEMA ametangazwa mshindi wa uchaguzi na msimamizi wa uchaguzi

Nilikua nje ya ofisi ya mtendaji na sasa tuko bongonyoo tunafanya mpango wa kuangusha ng'ombe tupongezane kwa shuhuli ngumu ya kuwachapa majambbazi wa ccm.
Asubuhi sana tunaamkia polisi central kuwatoa makamanda wetu wakiongozwa na Ringoo walionyesha ushupavu kuwatandika majambazi wa ccm kina mojaa, mjusi na kabelwa mpaka wakapelekwa cello.
Weka mbali na watoto.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ushindi ushindi tu leo mtatokwaa povu sana jifarijini na huo ushindi wa kata 3 mlizoshinda, tatizo mnasifa sana bandugu ushindi wa kata 3 mnachonga je mngeshinda japo kata 10 cmngerukwa na akili hiyo inaonesha ni jinsi gani mnauchu wa madaraka.
 
Kama wewe umetandikwa na ccm wenzeko unafikiri sisi tutakuchekea.
Ccm ni sawa na mbwa anayekula kinyesi chake.
NB: weka mbali na watoto.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom