Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Chadema mjitathimini upya M4C haijafanya kazi yoyote zaidi ya Kaskazini.
 
Ukifanya tathmini utagundua kwamba CHADEMA imefanya vizuri katika hizi chaguzi za kata. Wametetea kata zao mbili na pia wameongeza kata tatu zilizokuwa chini ya CCM. Hongera sana CHADEMA.
 
Bado kuna tatizo la mawasiliano, nadhani mfumo wa CDM unahitaji kuwa overhauled ili kuendana na kasi ya mabadiliko. Nasema hivyo kwa sababu, hizi chaguzi ni kipimo tosha kabisa ni vipi CDM wataweza kushughulika na ujanja ujanja wa CCM 2015. We need to act very fast, and more reliably huku tukiwa na watu waaaminifu. Kwa kifupi, mtandao wa CDM unahitaji kuwa na mbinu zaidi ya hizi za sasa haswa kimawasiliano.
 
Kwa ujumla:

CCM - Kata 23
CHADEMA - Kata 5
TLP - Kata 1

Siku zote nilikuwa namtilia shaka Rais JK kwa kauli yake kwamba CCM bado ina nguvu, lakini kwa matokeo haya CDM haiwezi hata kupata asilimia 40 mwaka 2015.
 
Siku zote nilikuwa namtilia shaka Rais JK kwa kauli yake kwamba CCM bado ina nguvu, lakini kwa matokeo haya CDM haiwezi hata kupata asilimia 40 mwaka 2115.
Ina nguvu ya pesa, ina nguvu ya rushwa, ina nguvu ya green guard, ina nguvu ya polisi, ina nguvu ya Tendwa nk nk, he is right. Mkuu mbona mbali sana huo mwaka.
 
vp JF kubadilisha rangi kwenye wall? Unaingia jamvini kama unaingia blog ya magamba.
 
Ina nguvu ya pesa, ina nguvu ya rushwa, ina nguvu ya green guard, ina nguvu ya polisi, ina nguvu ya Tendwa nk nk, he is right. Mkuu mbona mbali sana huo mwaka.
Mkuu hayo yote yanajulikana, kitu muhimu ni kujipanga vilivyo kwani mashabiki hatukutaraji matokeo hayo, hasa ukizingatia hapa JF washabiki wa CCM hawakohoi na mitaani hapa Dar kama hamna watetezi wa CCM. Hivyo tulitaraji makubwa.
 
Yote kwa yote, CHADEMA wamefanya vizuri zaidi.

Demokrasia ni mchakato, na mchakato ni hatua. Kwa ushindi huu CHADEMA wamepiga hatua kubwa zaidi katika demokrasia.

Big up CHADEMA, tusonge mbele kumtoa mkoloni mweusi.
 
Kimomentum CDM imezidi ku rise up so hongera zetu wana CDM.
 
Siku zote nilikuwa namtilia shaka Rais JK kwa kauli yake kwamba CCM bado ina nguvu, lakini kwa matokeo haya CDM haiwezi hata kupata asilimia 40 mwaka 2115.

Cjakuelewa hapo, 2115!
 
Kwakweli matokeo hayaridhishi.. pamoja na hila zote za waoM hilo haliwezi kua utetezi maana hakuna aliekua hajui mbinu zao na kama hatuwezi zikabili hizi mbinu kwenye kata 29.. twawezaje kuuaminisha uma kwamba tutadhibiti nchi nzima? Nahitadi CDM mje na majibu.

Nahitaji pia mje na analysis ya maana ikiwa ni pamoja na idadi ya kura zote zilizopigwa katika hizi kata na kiasi CDM imepata ili tuweze jitathmini ingekua uraisi tungekua wapi.. pia tuweze kutathmibni chama kimekua kwa kiasi gani na ukilinganishwa na rasilimali zilizoelekezwa kwenye kukucha chama katika kata hizo. Mweze kutuenzela na kuwaaminisha wanachama na mashabiki wenu, ni nini fundisho na nini mikakati yankujirekebisha.

Tumeongeza kata lakini ukweli ni kinyume cha matarajio. Narejea kauli ya mkiti.. tutazoa kata 20 kati ya 29... aje hapa yeye au Mnyika msemaji wa chama atuambie Kulikoni?

Uwajibikaji kwanza....
 
Hata kama walowengi hawatataka kuambiana ukweli, mantiki ya uzi wako ndiyo ukweli wenyewe. Ushindi wa viti vichache kiasi hicho hauna afya kwa cdm. Umetoa picha ambayo cdm must promptly recorrect itself as it heads towards 2015.
 
Chadema mjitathimini upya M4C haijafanya kazi yoyote zaidi ya Kaskazini.

Ni jambo la kawaida kufanya tathmini baada ya utekelezaji wa jambo lolote ulilojipangia kutenda. Vyama vyote vifanye tathmini. Tathmini ya CHADEMA izingatie M4C na jinsi polisi na wapinzani wao CCM walivyoivuruga. Yawezekana vitisho kwa raia kupitia mauaji ya watu wasio na hatia ktk utekelezaji wa M4C vilichangia CHADEMA kutofikia malengo ya M4C
 
mbona tunaambiwa CUF washinda huko Liwale ?
?
Hivi kweli, hiki Chama cha Wananchi (CUF) hakikupata kata hata moja? Sasa inabidi kibadili jina, hakiwezi kuwa Chama cha Wananchi wakati kwa wananchi wa kata 29 hawakukubalika. Au walikuwa busy kumtetea Sheikh Ponda Mali Kufa Kwaja atoke gerezani? Au wanaimarisha mtandao wao wa UAMSHO? Au ndoa imekuwa tamu, akishinda Mume ni sawa na kashinda Mke? Julius Matatizo, ooh sorry Mtatiro, uko wapi? Njoo utoe tathmini hapa maana wenzako wa CDM wameshatoa tathmini yao na wengine wameshawataka viongozi wao wajitokeze hapa kujibu hoja. Njoo na wewe utuambie.
 
Back
Top Bottom