Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Hongera CCM - Halisi kwa ushindi mzito na wa kishindo katika uchaguzi wa madiwani hayo ni matokeo kidogo ya ujenzi mpyaa wa chama katika ngazi ya matawi na mashina. Mabadiliko mapya ya CCM Taifa na haya yatatikisa Mafisadi wote na washika pembe wa cdm
we jamaa wa wapi hivi..mbona unabehave kama kubwa ..nga sikuelewi kijana... unashabikia... matatizo? nyie ndo mnarudisha maendeleo ya nchi nyuma...
 
Matokeo Rasmi ya Udiwani Kata hii ya Nanjara Reha ni haya:

CHADEMA KURA 2370
CCM KURA 1134


Kilema Kusini [Bado kituo 1 cha Malawe Chura]

TLP 946
CDM 727
CCM 707

Ahsanteni sana Wana Nanjara Reha kwa kuendelea kuiamini CHADEMA na kuitupilia mbali CCM. Mmechagua Mabadiliko mkaacha Mafisadi! Mmechagua jema na kuacha baya! Mmefanya maamuzi sahihi.

Mungu awabariki sana!

Hongera CDM Mbele kwa mbele mpaka kieleweke
 
njema kamanda ingawa nina majonzi ya kupata kata chache! Mia

majonz yanatoka wapi mkuu? Ivi wajua kata halali kwa chadema ilikuwa ni ile ya mtibwa? Any addition to that ni kuwa ccm kanyang'anywa au kazidiwa na chadema, kumbuka asoridhika na icho kdogo ata kikubwa awezi kurithika, kna kata za ccm ambazo cdm kazbeba, ile ya ludewa ilkuwa yao ccm, ya arusha, ya sikonge... Zote ni kaz ccm kapokwa, tuendelee kustrugle tutachkua zaid mbelen, hasa ukzingatia ccm walkuwa wananunua shahada hiyo ndo pona yao vibaka hao
 
DARAJA MBILI
CDM 2156
CCM 1282
HUKO ROMBO
CCM 2370
CHADEMA 1134


KATA YA IPOLE SIKONGE
CDM 577
CCM 373
CUF 48
NANJARA REHA.
CDM 2370
CCM 1134
KILEMA KUSINI
TLP 946
CDM 727
CCM 707
BANGATA –ARUSHA
CCM- wameshinda
Followed by CDM.
BANGATA- ARUMERU
TLP 3
CDM 881
CCM 1137
BUGARAM-KAHAMA.
CCM-imeshinda
CDM –followed
MAWAZA-SHINYANGA.
CCM-imeshinda
CDM –followed
MISUNGWI
CCM-imeshinda
CDM –followed

KATA YA LWEZERA ,GEITA
CCM-392
CDM –336
CUF -103

MPAPA -MBOZI
CCM 547
Cdm 296
KATA YA MLANGALI-LUDEWA
CDM 2370
CCM 1134
MSALATO –DODOMA
Cdm 236
CCM 474
MAGOMEN- BAGAMOYO
CCM imeshinda
CDM inafuatia





KATA YA NLETELE
Ccm kura 955
Chadema kura 297
Cuf kura 27
TOMATO –LUSHOTO
CCM 901
CDM 312
CUF 10

MAGOMEN- BAGAMOYO
CCM imeshinda
CDM inafuatia

KALITU NZEGA
CCM 854
CDM 354
CUF 57

KATA YA MTIBWA
CDM 3096
CCM 1372
CUF 67
KILOLELI SKONGE
Cdm 329
Ccm 690
Cuf 222


MTELELE-SONGEA
CCM- imeshinda
CDM -inafuatia
 
hivi watz wataelimika lini? mbona majambazi bado wanashinda? mie siwaelewi hawa vilaza wanaochagua ccm....
 
hivi watz wataelimika lini? mbona majambazi bado wanashinda? mie siwaelewi hawa vilaza wanaochagua ccm....

Kuna issue mbili ambazo ni lazima chadema itafute namna ya kupambana nazo:

1. Rushwa. Elimu, Elimu, Elimu Rombo CCM ilimwaga pesa nyingi lakini wananchi walielimishwa walichukua pesa
zao na kuwatosa CCM. Kwy kata moja mgombea wa cdm aliwataka wananchi kutokukubali rushwa kabisa
which is true lakini umaskini wa watanzania ni ngumu ninalazimika kukubaliana na kamanda wa rombo.

2. wagombea wa chadema. hili ni rahisi kulishugulikia kwa kuwa makini kutafuta wagombea.
 


Mmko wapi
Kashinje Masanja, SeriaMtoto WikiLiks Tumainiel, John Heche, Freeman Aikaeli Mbowe, Zitto Kabwe, na MANGIMEZA wengine, haya njooni mjifariji na stori yenu eti tumeongeza tatu!

CCM 23 CHADEMA 5TLP 1

Ridhiwani Kikwete Atoa Salamu isome hapo chini...

"KITU KIZITO SANA KIMEANGUKA PALE MTAA WA MFIPA.

Baada ya matokeo haya, wana chadema wakumbusheni viongozi wenu muandae sababu na mkate RUFAA tu, maana hatuoni njia mbadala inayoweza warudisha kwenye ramani."



136054_403341743065391_1043196914_o.jpg


BAADA YA KUPATA MATOKEO YA KARIBU KATA ZOTE SASA NAPUMZIKA NAAMINI NA NITAENDELEA KUAMINI SERA NZURI NA SIASA ZISIZOWAGAWA WATANZANIA NDIO ZIMETUFIKISHA HAPA LEO HII.HII IMESHANIPA PICHA YA 2015
 
kwakweli HILI SWALA LA UCHAGA LINATUANGUSHA SANA MAANA ATA UO UCHAGA TENA UNA MAKUNDI YA MROMBO, MMARANGU ,MMACHAME NA KWAKWELI PROPAGANDA HII INATU COST SANA
 
hivi watz wataelimika lini? mbona majambazi bado wanashinda? mie siwaelewi hawa vilaza wanaochagua ccm....

Siku kitapokuja chama chenye nia ya dhati ya kuwakomboa wa tz bila kujali dini zao wala kabila zao basi ndio itakuwa mwisho wa ccm,lakini kwa vyama hivi cuf na cdm hakuna kitu ccm itatawala milele,cuf udini ubinafsi umejaa, cdm udini ukanda usiseme,
Ingekuwa kura wanapiga member wa jf cdm ingeshinda,lakini wa tz leo wanaona ni bora waendelee na li jambazi ccm kuliko cuf au cdm maana ni chui waliovaa ngozi ya kondoo,hata mimi leo ningekuwa napiga kura ningewapa ccm tu kwa sababu mmekaa ushabiki,ubishi, mnajifanya mmesahau matusi na kashfa zenu kwa jamii nyingine humu jf? Sasa mnashangaa nini matokeo ya leo? Bado 2015 ccm yatashinda tena na ndio itakuwa mwisho wenu,
Mara zote nawaambia ccm bado wanamtaji mkubwa sana,mnapumbazwa na member wa jf wasiofika hata laki 1 katika nchi ya 40m mtashindia wapi? Jipangeni
 
Naona mambo mazuri, kiujumla, kuna mtu anaweza kuniambia CDM na CCM wamepata kura ngapi ngapi? Tukumbuke Rais anashinda kwa wingi wa kura na siyo kwa idadi ya kata au majimbo
 
Back
Top Bottom