Maishamapya
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,279
- 375
TBC taarifa ya habari saa 2:
CCM 5377
CDM 281
CUF 23
tadea 14
AFP 8
Mkuu fanya sahihisho hapo kwenye red: ni kura 223
TBC taarifa ya habari saa 2:
CCM 5377
CDM 281
CUF 23
tadea 14
AFP 8
Logic ya kawaida tu kama unayo itakwambia kuwa mtu huchukua a split second kufanya maamuzi, kwa hiyo pamoja na kwamba uongozi wa juu wa Chadema ulifanya kampeni Uzini, kitendo cha sekunde ya mwisho cha kufanya maamuzi kinabaki kwenye mkono wa mpiga kura anapoweka tick.
Halafu unaongea kana kwamba Tanzania kumewahi kuwa na uchaguzi huru na unaofuata sheria.
Ngoja tu mie niwe msomaji wa thread hii..
hivi hilo jimbo linaitwaje?
Pamoja na kwamba sikubaliani na namna ambavyo mleta mada ameiwakilisha habari yake, pia sikubaliani na fikra zako kwamba washabiki wa chadema wameshangilia ushindi, kumbuka thread pia inasema "matokeo ya awali" mleta mada hakuja na namba, lakini kwenye mazingira ya uchaguzi, kuna excitement kama hizo zinazosababishwa na ups and downs ya hizo namba, wakati wa matokeo ya awali na haina maana kwamba matokeo ya awali ndo ya mwisho.Inasikitisha sana sasa CDM msiwe mnapost vitu kiushabiki hapa JF mwanzo wa campaign mlitupa matumaini na hata mpaka leo kwa mleta taarifa ameleta kiushabiki tuu hapa JF na mwisho mnajipongeza kwa yapi? asilimia 4.8% jamani shame on all of you include team campaign and top leaders who have been there pangeni strategy zenu bana mtufurahishe sisi na sasa mnaenda Arumeru je itakuwaje? au ndio mfa maji...........
Mkuu fanya sahihisho hapo kwenye red: ni kura 223
kwa CDM nadhani technique ya ulalamishi na kukurupuka kwa maneno ya uzushi wameona inawalipa sana lakini naamini lazima in a longrun itakuwa na matatizo yake wanapaswa ku waangalifu kwani kumbuka si wakati wote offside trik imekuwa ikilipamh this is not true bwana, matokeo yatatoka baada ya saa 10 sasa haya yamettoka wapi wakati vituo havijafungwa na process ya kuhesabu ikaanza. We need not kupotoshana mkuu
i lyk this my folk! Thumbs up pal!!It is just a matter of time...time 'll tell, dont be conclusive with no any inference...let the playing ground be leveled...ok
Hiki chama ndiyo kinakufa bara na visiwani labda ni agizo la Hamad RashidMkuu fanya sahihisho hapo kwenye red: ni kura 223
Daudi Ismail Isma Uzini kituo cha kiboje school chadema
kura 15 ,cuf kura kumi na mbili ,ccm
kura 194.shangilia ushindi unakuja
shangalia shangilia unakuja.
Hiki chama ndiyo kinakufa bara na visiwani labda ni agizo la Hamad Rashid
Lbda abadilishe msimamizi mkuu kutoka 23 kwenda 223 unayo itaka
Habari ndiyo hiyo,CHADEMA inaongoza shehia kibao.Stay tuned nitawamwagia full data muda si mrefu.
Kweli JF kimekuwa kitengo cha propaganda. Ni kama Chemical Ally kipindi cha Saddam.