Matokeo ya Uchaguzi Uzini - Raza (CCM) aibuka kidedea!

Matokeo ya Uchaguzi Uzini - Raza (CCM) aibuka kidedea!

Matokeo ya mwisho haya hapa:
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Chama cha Mapinduzi[/TD]
[TD]5377[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama cha Demokrasia na maendeleo[/TD]
[TD]281[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama cha Wananchi[/TD]
[TD]223[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TADEA[/TD]
[TD]14[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]FFP[/TD]
[TD]8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kura zilizopigwa[/TD]
[TD]5902[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kura zilizoharibika[/TD]
[TD]28[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wasiopiga kura[/TD]
[TD]2852[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD] Kura zilizotarjiwa kupigwa (Waliojiandikisha)
[/TD]
[TD]87555
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kwa matokeo haya, ukiachia uchachachuaji, CHDEMA kimeonesha kinakubalika zaidi kuliko CUF. CHADEMA elekezeni nguvu zenu ZNZ ili 2015 mchukue majimbo ya CUF Pemba na ya Unguja.

kweli tuko too far ....sasa hivi mjinga mjinga yoyote akinipiga mzinga namtosa live hawa watu wa chini hawa hawajui kitu wanateseka maisha magumu ila wakipewa t shirt au kofia wanaipa ccm ulaji. now i will not give a damn
 
Huo ni ushindi kubwa kwa cdm, naamini wananchi wameiona cdm ni chama kinachosikiliz matakwa yao.
 
Cuf na Chadema ni magari yanaovutana tu.

Mkuu hapo sikubalini na wewe CDM kipo mbali sana na Cuf hata CCM pia ila nawashauri wajitaidi sana campaigner wao kuwa strategy kupambana na chama ccm, kinachoniuzi hapa jf ni hizo propaganda zao hazina tija nawashauri wakae chini na kuplan majesh yao pia niwaonye au niwashauri kuwa sio kila kitu mnakileta hapa JF huwa mtu au wewe ritz ukitaka data zozote za CDM unakuja hapa JF na utajua ni nini ukifanye ili ushinde mfano CCM hapa jf hawamo kabisa hata kama kuna chaguzi zinaendelea ni wachache tu kama ritz, FF nk ndio mnakusanya mawazo ya CDM na mnaenda kuyafanyia kazi so, CDM jifunzeni.

Mkiendelea hivi kweli mtazoofisha wanachama wenu, je hivi tu ni jimbo mojamoja ikija kuwa chaguzi zote tz itakuaje?
 
Gerald,
JF ni jukwaa huru wapo vyama tofauti tofauti sio Chadema peke yenu tatizo la Pro-Chadema mnadhani wazalendo wa nchi lazima wawe Chadema..

Suala la data mbona hata mie uwa nawaletea data za Chadema humu JF mnanipinga baadae mnakubali kimya kimya.

JF imepoteza kichwa muhimu FaizaFoxy kapigwa ban ya maisha kukokosekana kwake hata nyie ni pigo kubwa mnakosa data muhimu.
 
Tume ya Uchaguzi Zanzibar imemtangaza rasmi Mohamed Raza kuwa Mwakilishi halali wa Jimbo la Uzini kwa kushinda asilimia 91.1 sawa na kura 5377.

Matokeo hayo yametolewa na Afisa Msimamizi Uchaguzi wa Wilaya ya Kati Mussa Ali Juma huko katika Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kati Unguja.

Alisema kuwa zoezi la Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Uzini ulikwenda vizuri mpaka kufikia katua ya matokeo.

CHANZO:<< MPEKUZI>>

Kafanya kosa gani Faiza mpaka apewe ban ya maisha. Kumbuka wapiga kura wa uzini kila aliyekuwa anaenda kupiga kura alikuwa lazima asaini kitabu kwa balozi pale mlangoni ili wajue ni wangapi wamewapigia chadema ss hapo haki iko wapi
 
Gerald,
JF ni jukwaa huru wapo vyama tofauti tofauti sio Chadema peke yenu tatizo la Pro-Chadema mnadhani wazalendo wa nchi lazima wawe Chadema..

Suala la data mbona hata mie uwa nawaletea data za Chadema humu JF mnanipinga baadae mnakubali kimya kimya.

JF imepoteza kichwa muhimu FaizaFoxy kapigwa ban ya maisha kukokosekana kwake hata nyie ni pigo kubwa mnakosa data muhimu.

Dont worry mate, kama data unazozileta hapa jamvini zinakuwa na ukweli halafu zinapingwa. All truth passes through three stages. First, it is ridiculed. Second, it is violently opposed. Third, it is accepted as being self-evident
 
Gerald,
JF ni jukwaa huru wapo vyama tofauti tofauti sio Chadema peke yenu tatizo la Pro-Chadema mnadhani wazalendo wa nchi lazima wawe Chadema..

Suala la data mbona hata mie huwa nawaletea data za Chadema humu JF mnanipinga baadae mnakubali kimya kimya.

JF imepoteza kichwa muhimu FaizaFoxy kapigwa ban ya maisha kukokosekana kwake hata nyie ni pigo kubwa mnakosa data muhimu.

Mkuu labda nimekosea kumention vyama viwili ila sipo kivyama sana na ndio maana tokea miaka sijashabikia chochote napenda unielewe najaribu kutoa mawazo in general parties ila kinachoniuzi ni jinsi CDM wanavyoshabikia hapa bila good result mkuu angalau wewe, FF na rejao mnachokisema in spite of kupinga ukweli sometime ila kukiwa na uchaguzi mnamajibu yenye ukweli vip ivi vyama vingine? hapo ndio mada yangu imestick again i am not pro CDM or else
 
Kafanya kosa gani Faiza mpaka apewe ban ya maisha. Kumbuka wapiga kura wa uzini kila aliyekuwa anaenda kupiga kura alikuwa lazima asaini kitabu kwa balozi pale mlangoni ili wajue ni wangapi wamewapigia chadema ss hapo haki iko wapi

Kwa nini CDM waliruhusu hali hiyo kutokea? Hii haiwezi kuwa sababu kwani chumba chakujazia form Mwananchi anashikiwa kalamu? Tukiendekeza habari hizi za kupewa hela na kuandikishwa, ni kama tunakiri CCM itatutawala/itatuongoza Daima. Siasa za Tanzania bado hazijawa very clean, sometime you have to get your hands dirty too.

Hizi story nilianza kuzisikia Segerea, ikaja Kibaha, halafu Shinyanga, mara Igunga (the list goes on). Tell me, CDM inafanya nini kuhusiana na hizi rafu? Nasi tunafanya nini ili zisijirudie?
 
Again CDM kusema mmejitaidi labda kivipi?
Mfano umeenda kucheza mpira ukafungwa utasimamia nini hapo? umejitaidi au
Igunga mmeshindwa na leo Uzini mmeshindwa still watu mnajipa hope kuwa mmejitaidi mpaka lini?
Mind you team ikifungwa kunakua na mikwaruzo kambini ikiwezekana hata kocha kufukuzwa ili seriousness iwepo na mkienda game ingine muweze kushinda sasa nyie mnashindwa na mnangangania mmejitaidi tuuu mpaka lini?
 
gerald,
jf ni jukwaa huru wapo vyama tofauti tofauti sio chadema peke yenu tatizo la pro-chadema mnadhani wazalendo wa nchi lazima wawe chadema..
Suala la data mbona hata mie uwa nawaletea data za chadema humu jf mnanipinga baadae mnakubali kimya kimya.
Jf imepoteza kichwa muhimu faizafoxy kapigwa ban ya maisha kukokosekana kwake hata nyie ni pigo kubwa mnakosa data muhimu.
sikupenda apigwe hiyo ban nilipenda aonywe na ajirekebishe kwa kauli zake tata mfano;
  • msimamo wake juu ya mgomo wa madaktari
  • kauli zake dhidi ya dr slaa
  • kauli zake za ubaguzi dhidi ya chadema

tatizo kubwa ni namna anavyo present lugha yake hapa
 
Ah Hivi kumbe hatunaye Tena jf nashangaa huyo mama alikuwa anawashinda nini? mbona kwangu alikuwa anachemsha na kunikimbia.. wengi waliokuwa wanamkabili walikuwa Wadhaifu kihoja.. kama kavunja Sheria mwache apotelee mbali hakuna tunachokosa kwake zaidi ya maudhi tu na kutotoa udhu... usidi umemkamata sana ndio tatizo lake inawezekana akawa ni msomali
 
CUF kuwa nyuma ya CHADEMA Zanzibar ni sawa na CHADEMA kuwa nyuma ya CUF kule Karatu !!
 
Inasikitisha sana sasa CDM msiwe mnapost vitu kiushabiki hapa JF mwanzo wa campaign mlitupa matumaini na hata mpaka leo kwa mleta taarifa ameleta kiushabiki tuu hapa JF na mwisho mnajipongeza kwa yapi? asilimia 4.8% jamani shame on all of you include team campaign and top leaders who have been there pangeni strategy zenu bana mtufurahishe sisi na sasa mnaenda Arumeru je itakuwaje? au ndio mfa maji...........
Rejao says thank for this useful post
 
Nadhani CUF wameibiwa kura ila hawawezi kulalamika kutokana na makubaliano ya mwafaka.Haiwezekani CHADEMA wawashinde CUF huko visiwani, labda kama hali ya hewa imewaharibikia sana ndugu zangu wa CUF; jambo linaloweza kuwa limeisadia sana CCM
 
Kwakweli matokeo ya kura yameonyesha vitu vitatu kwangu
  1. CCM is a beneficiary wa ndoa kati ya kafu na CCM, KaFU have just committed a suicidal mistake by agreeing to be CCM's wife
  2. CDM came second, meaning.... KAFU is in ICU
  3. Its a divide and rule that keeps CCM on power, a good tactic na kama wapinzani hawataamka, upinzani utaishia kupigania viti maalum na kugombea kambi rasmi ya upinzani
 
Back
Top Bottom