Nimeongea na jamaa yangu toka tarime ambaye ni polisi wa jeshi la Jk anasema chadema wameanza kushangilia ushindi imebidi kupiga mabomu kidogo ili kutawanya watu,bado matokeo kamili hayajatangazwa ila chadema kidedea bila ubishi
Kule tarime hakuna mchezo, wananchi wenyewe wanahesabu kura zao kabla ya kupiga manake wanafahamiana. Naikitokea matokeo ni tofauti na mtazamo wao basi ni kichapo kwenda mbele!
Huko CCM ni vilio. JK na wapambe wake Kinana,Makamba na hawaamini wanachokisikia kwenye BREAKING NEWS YA MATOKEO YA AWALI.
Uko wapi ushindi wa kishindo wa 80%?????????????
Hii ni ku-prove kwamba UTAFITI WA REDET na SYNOVATE walikuwa wrong!!!!!!
Musoma Ubunge CHADEMA kina kata 9,CUF kata 3,CCM kata 2.
Hao mashetani akina Mukandala walijidai wana nguvu za kisomi kumbe unafiki. Lakin anatakiwa ajiuzulu sasa UVC maana hatuna imani naye atawaandaa vipi wanafunzi ambao wanatakuwa viongozi wa kesho?
Hata matokeo yabadilike REDET na SYNOVATE wamepoteza sifa ya kuaminika na na inatakiwa wafunge kazi zao Chuo Kikuu na nchini.
matokeo yanaonesha dhahir SLAA amepata kura za wakristo (mikoa yenye wakristo wengi)