Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Tarime

manyusi

JF-Expert Member
Mar 3, 2009
292
170
Nimeongea na jamaa yangu toka tarime ambaye ni polisi wa jeshi la Jk anasema chadema wameanza kushangilia ushindi imebidi kupiga mabomu kidogo ili kutawanya watu,bado matokeo kamili hayajatangazwa ila chadema kidedea bila ubishi
 
Data pls
 
Kule tarime hakuna mchezo, wananchi wenyewe wanahesabu kura zao kabla ya kupiga manake wanafahamiana. Naikitokea matokeo ni tofauti na mtazamo wao basi ni kichapo kwenda mbele!
 
uko sina hofu kabisa ya kuibiwa kura yan ata presha sina mana wanajua haki zao na wanajua kuzitetea kwa garama yeyeto ile heko muraaa
 
Kule tarime hakuna mchezo, wananchi wenyewe wanahesabu kura zao kabla ya kupiga manake wanafahamiana. Naikitokea matokeo ni tofauti na mtazamo wao basi ni kichapo kwenda mbele!

hawa jamaa hawataki mchezo wao wanajiita wamezaliwa wanajeshi toka matumboni mwa mama zao
 
Huko CCM ni vilio. JK na wapambe wake Kinana,Makamba na hawaamini wanachokisikia kwenye BREAKING NEWS YA MATOKEO YA AWALI.

Uko wapi ushindi wa kishindo wa 80%?????????????

Hii ni ku-prove kwamba UTAFITI WA REDET na SYNOVATE walikuwa wrong!!!!!!

Musoma Ubunge CHADEMA kina kata 9,CUF kata 3,CCM kata 2.
 
Hata matokeo yabadilike REDET na SYNOVATE wamepoteza sifa ya kuaminika na na inatakiwa wafunge kazi zao Chuo Kikuu na nchini.
 
Huko CCM ni vilio. JK na wapambe wake Kinana,Makamba na hawaamini wanachokisikia kwenye BREAKING NEWS YA MATOKEO YA AWALI.

Uko wapi ushindi wa kishindo wa 80%?????????????

Hii ni ku-prove kwamba UTAFITI WA REDET na SYNOVATE walikuwa wrong!!!!!!

Musoma Ubunge CHADEMA kina kata 9,CUF kata 3,CCM kata 2.

Synovet hawakufanya utafiti bali walitoa matokeo tu. Kwa sababu walitaka kuipeleka CHADEMA mahakamani kwa kuwa ilisema kuwa wamefanya utafiti wakati hawakufanya. Thank you
 
Hapa Nyamongo ndo wanamalizia majumuisho ila chadema wameshinda kwa zaidi ya kura 250 katika kata zote za Matongo katika nafasi ya Ubunge na zaidi kwnye nafasi ya uraisi..Then matokeo haya yatapelekwa tarime kwa majumuisho ya wilaya nzima.
 
Endeleeni kutandika mangumi ya usoni tu huyu mpinzani wetu ccm asiamke tena,
 
Hao mashetani akina Mukandala walijidai wana nguvu za kisomi kumbe unafiki. Lakin anatakiwa ajiuzulu sasa UVC maana hatuna imani naye atawaandaa vipi wanafunzi ambao wanatakuwa viongozi wa kesho?
 
Hao mashetani akina Mukandala walijidai wana nguvu za kisomi kumbe unafiki. Lakin anatakiwa ajiuzulu sasa UVC maana hatuna imani naye atawaandaa vipi wanafunzi ambao wanatakuwa viongozi wa kesho?

I am tempted to buy this IDEA
 
Hata mimi ambaye sijasoma najiona nina hekima zaidi ya MUKANDALA and the gang. Hawawezi kuja hadharani na kujifanya ndio sauti za watu kwamba watakayosema wao ndiyo maamuzi yetu.
Leo ilikuwa ni kichapo cha uso
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom