Matokeo ya NACTE yametoka?

Aloooo nacte watu tuna two zetu nyeupe mmetuacha alooooo kuwen seriously tuliacha kwenda advance af now mnatuletea songombingo hizo alooooo mtufikirie bac angalau tufarjike na sie
Ndo tatzo lenu wabongo kila mtu anaifaham C.O tu kwenye afya
ungekuwa umefaulu ungeenda kwa wanaume wenzako huko A level utoboe na hiyo two yako tuone nyie wote mafail tuu
 
Ndo tatzo lenu wabongo kila mtu anaifaham C.O tu kwenye afya
ungekuwa umefaulu ungeenda kwa wanaume wenzako huko A level utoboe na hiyo two yako tuone nyie wote mafail tuu
Hahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa waaambie mkuu
 
Kuna dogo analia tu hapa kusahau username na password na hajui kama kachaguliwa au la
awe kama anataka kulogin aingise username yake(namba ya form four na mwaka aliomaliza form 4) kwa format ya S3434/0053/2016 halafu sehemu ya password sasijaze aclick forgot password, watamtumia kwenye e-mail adress na namba ya simu aliyojaza wakati wa usajili.
 
Bora umeelewa
Maana watu CO ndo wanaona kozi kubwa ya afya wakati hata nursing lever ya diploma mshahara ule ule tu na watoto wengi wamepigwa chini kwa kuikurupukia na nacte wanasema round ya pili ni vyuo vya private tu vya serikal vipo full saiz
 
[emoji120]
 
Dogo naona mna mbwembwe nyingii wakat wenzenu wanaenda kupga MD lakn hawaongei
Mkuu ni haki yao, kutokana na malengo yao kuchaguliwa ni mafanikio kwani wapo watakao kosa. Hivyo waache wakutane wajadili yanayo wahusu. Wa MD nao wakichaguliwa wana uhuru wa kukutana na kujadili yao.
 
Ndo tatzo lenu wabongo kila mtu anaifaham C.O tu kwenye afya
ungekuwa umefaulu ungeenda kwa wanaume wenzako huko A level utoboe na hiyo two yako tuone nyie wote mafail tuu
Mkuu kila mtu ana malengo yake sio lazima wote waende advance. Of course kuwa na two nyeupe haikuhakikishii kupata selection kama kuna ushindani.
 
Aloooo nacte watu tuna two zetu nyeupe mmetuacha alooooo kuwen seriously tuliacha kwenda advance af now mnatuletea songombingo hizo alooooo mtufikirie bac angalau tufarjike na sie
Badala ya kulalamika jiulize umekosea wapi, ili ufanye uchaguzi unao endana na ufaulu wako. Kama kila mtu anakimbilia afya basi hayo yatatokea. Kutokwenda kwako advance isiwe sababu ya kudai uchaguliwe. Huenda competition ni kubwa zaidi kwenda CO kuliko kwenda advanced kutegemea na combi uliyotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…