Mimi niliomba kilimo pia.. sasa nimesikia wizara ndo itatangaza matokeo.. Naomba wakitoa unashtue mkuu... maana hali mbaya hata sijui lolote hapa aiseeYaa ila mimi nataka kujua upande wa kilimo ambao hadi sasa hawajaweka cuz wahusika waliombea direct vyuoni
Umechaguliwa mkuu..?Samahani wanajukwaaa naomba mnisaidie kuangalia kahama nimechagiliwa au laa maana najaribu kulogin inazingua tangia Jana
Username:S1646/0017/2011,password:AU9gds4k
Natanguliza shukurani
Hapo tafuta private tu mkuuJamani kama ukikosa unafanyaje sasa??
Unaweza ukawa umechaguliwa diploma au certf inategemeana na compet ilivyokuwa but mim nilomba diploma kozi zoteWakuu naomben msaada kwa hili,,,kuna pale kwenye kuomba wanaandika kwamb mfano jumaa kaomba certificate/diploma sasa hapo naenda soma dip àu certfcate msaada wakuu
Duuuh! Sawa mkuu, je hyo awamu nyingine wanayosema ukiomba serekalini utapata tens??Hapo tafuta private tu mkuu
Second round vyuo vya serikali vinakua visha jaaDuuuh! Sawa mkuu, je hyo awamu nyingine wanayosema ukiomba serekalini utapata tens??
Okay sawa mkuu nmeelewa hapoSecond round vyuo vya serikali vinakua visha jaa
HongeraHongera umechaguliwa
Naombeni msaada kwa vyuo vizur private ambacho naweza soma clinical assistant, kwa mikoa ya moshi, arusha,tanga na morogoro
Umechaguliwa wapi mkuu...!
Umechaguliwa chuo gani mkuu...!
Shukrani tunakuja
Nadhani by tomorrow watakua wameshatoa.Mimi niliomba kilimo pia.. sasa nimesikia wizara ndo itatangaza matokeo.. Naomba wakitoa unashtue mkuu... maana hali mbaya hata sijui lolote hapa aisee
Sawa mkuu.. utanicheck PM mkuu, maana mda wote nakesha JF hata kama nipo shambaNadhani by tomorrow watakua wameshatoa.
Nitakujuza
Shombe ww ni mwisho aiseeeSawa mkuu.. utanicheck PM mkuu, maana mda wote nakesha JF hata kama nipo shamba
SawaSawa mkuu.. utanicheck PM mkuu, maana mda wote nakesha JF hata kama nipo shamba
Kawaida tu mkuuShombe ww ni mwisho aiseee