Matokeo ya kufuga kitambi

Kitambi nakipenda balaaaa aiseee
 
Bwashee natoka zangu gym saivi.Dada ananipikia ugali wa mwogo,dagaa la mama shukuru na kachumbari isiyo na ndimu wala limao,Karibu…..
Tule tazi bwashee, hata ukila pombe zako bado unaonekana fiti tu
 
Sasa imefika hatua jitu linanenepa mpaka mapaja , unakuta likisimama mapaja yanashikana na matege yake kama jinga flani hivi , na masuruali yake kama ngoswe yanazama kwenye mapupu , kisa tu uwepo wa nyama zembe.

Nimelia sana leo😭😭😭
 
Kwa nini mtani😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…