Elections 2010 Matokeo ya awali Mkoa wa Mbeya

Status
Not open for further replies.
Tukuyu ushirika,

Urais:
chadema - 700,
ccm 54,

Mbeya mjini kituo cha azimio,

Urais:
chadema - 101,
ccm - 43,

Kituo cha Mwenge,

Ubunge:
chadema - 130,
ccm - 33,

Kituo cha kilimo 1,

Urais:
chadema - 119,
ccm - 29,

Kituo 2,

Urais:
chadema - 109
ccm - 39.

Habari toka Vwawa, chadema inaongoza mji unazizima kwa shangwe!

Mbeya oyeee!
Safi sana na hongereni kwa kufanya uamuzi wa busara. Nchi yetu inazaliwa.
 
We have always asked our leaders to be fair and compassionate but CCM refused to heed the voice of the voters......................now they are reaping what they have sowed..........................and nothing more........................
 
Wandugu, hivi ninaota au ni kweli??????? Mbona naona maluelue hivi jinsi hili lichama cha manyang'au linavyoburuzwa!!!
 
Mbeya zaidi

Mwenge A:

Urais:
Dr Slaa 99, Jk 55, Lipumba 2

Ubunge Sugu 115, Mpesya 51

Mwenge B

Urais:

Slaa 105, Jk 61, Lipumba2

Ubunge: Sugu 120, Mpesya 37

Mwenge C

Urais: Slaa 113, Jk 48

Ubunge: Sugu 130, Mpesya 33
 
Hivi Jamani JK anasomaga JF kweli si anaweza piga chini laptop yake kama haya matokeo ya mbeya yako hivi tuu.. Kyela tumerudishia na hizi kura za tukuyu jamani ngoma hiyo Magogoni kama utani vile lakini ifikapo kesho saa nne hivi tuna toss champing kwa sasa mitaa ya Luthili ni yetu wanyonge ....ni awamu yetu hii jamani nasi tujione tupo kwa nchi yetu.
 
vizuri sana jamani naomba tungegawana mikoa tufuatilie na kufikia kesho saa tatu nne tutoe taarifa kamilifu...haya bado sana ni matokeo ya awali ndugu zangu...kwa hiyo bado tuna kazi kubwa ya kufuatilia kwa ukaribu.
 
Yani huo ni ukombozi mkubwa sana kwa taifa hili. Tuanapaswa kujivunia kwa ukombozi huu
 
jamani leo ni km ndoto oooh iko mikononi mwangu, jamani hata habari sina iyoyo iyoyo iyoo tehe si mchezooo slaa gooo
 
Hivi Jamani JK anasomaga JF kweli si anaweza piga chini laptop yake kama haya matokeo ya mbeya yako hivi tuu.. Kyela tumerudishia na hizi kura za tukuyu jamani ngoma hiyo Magogoni kama utani vile lakini ifikapo kesho saa nne hivi tuna toss champing kwa sasa mitaa ya Luthili ni yetu wanyonge ....ni awamu yetu hii jamani nasi tujione tupo kwa nchi yetu.
JK hawezi kujiunga wala kusoma JF maana hana sifa za kuwa Great thinker
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom