Elections 2010 Matokeo ya awali Mkoa wa Mbeya

Status
Not open for further replies.

TGS D

Senior Member
Aug 3, 2010
114
13
Matokeo ya ubunge vituo viwili vya block T - Mbeya Mjini ni

Kituo A
chadema 140,
ccm 33,

Kituo B
chadema 115,
ccm 15.

Nita-update mara nipatapo matokeo mengine.

Pia, vijana wamejitokeza kulinda kura vituoni kuhakikisha hakuna kinachoingia au kutoka.
 
Matokeo ya ubunge vituo viwili vya block T - Mbeya Mjini ni

Kituo A
chadema 140,
ccm 33,

Kituo B
chadema 115,
ccm 15.

Nita-update mara nipatapo matokeo mengine.

Pia, vijana wamejitokeza kulinda kura vituoni kuhakikisha hakuna kinachoingia au kutoka.


Kazi ipo...CCM waandae pakwenda kujificha mapema!
 
Sasa mbona chanel ten wanasema CCM eti ndo wanaongoza??? hebu angalieni chanel ten asa ivi!!!
 
Walisema ni wazee wa CCM tu ndiyo wataenda kupiga kura yaani wamekalia bua.........................Tupatie za Uraisi ili tuanze kupangusa tongotongo...................
 
watu wangu,vijana wa kazi mmesahau chanel ten ni ya rostam?lazma wachakachue matokeo,hawawezi toa ya ukwel lazma waipe ccm kipau mbele. . . !
Endeleeni ku2 apdeti vijana wangu wa kazi . . . . . . !
 
Matokeo ya urais kwa vituo viwili vya vijijini:

Nsesi
JK 132
Slaa 119
Prof. 1

Katumba shuleni
JK 150
Slaa 120
prof. 2

Itunge - Kyela mjini
JK 54
Slaa 76

Community Center - Kyela mjini
JK 56
Slaa 125

Kilasilo - Kyela vijijini
JK 205
Slaa 36

Isaki
JK 266
Slaa 32

Malungo
JK 206
Slaa 74

Mwaya (Kwa Mwakipesile)
JK 374
Slaa 17

Wilaya ya Rungwe kwa Mwandosya - jina la kata nimesahau
JK 206
Slaa 5
 
Sasa mbona chanel ten wanasema CCM eti ndo wanaongoza??? hebu angalieni chanel ten asa ivi!!!
tutapata pale matokeo yote yatakapo jumuishwa maana sasa kila mtu anaongea yake.
 
Channel 10 wanaripot sehemu walizoongoza ccm tu tena kwa tofauti ndogo ya kura, hawana lolote wamekalia ushabiki tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom