Nasikia wafuasi wa SUGU wameanza shamrashamra za ushindi
Channel 10 wanaripot sehemu walizoongoza ccm tu tena kwa tofauti ndogo ya kura, hawana lolote wamekalia ushabiki tu
si unaona na Dr.(Phd) wamempa 120 na 119 kwenye hivyo vituo?ni kama vile wapiga kura walikuwa walewale....
Tukuyu ushirika,
Urais:
chadema - 700,
ccm 400,
Mbeya mjini kituo cha azimio,
Urais:
chadema - 101,
ccm - 43,
Kituo cha Mwenge,
Ubunge:
chadema - 130,
ccm - 33,
Kituo cha kilimo 1,
Urais:
chadema - 119,
ccm - 29,
Kituo 2,
Urais:
chadema - 109
ccm - 39.
Habari toka Vwawa, chadema inaongoza mji unazizima kwa shangwe!
Mbeya oyeee!
Naskia Mbeeya mavuvuzela yametawala usiku huu. Ni kama mji umekombolewa toka mikononi mwa wakoloni.
Naskia Mbeeya mavuvuzela yametawala usiku huu. Ni kama mji umekombolewa toka mikononi mwa wakoloni.