Matokeo ya Arumeru: Salaam kwa Edward Ngoyai Lowassa!

Matokeo ya Arumeru: Salaam kwa Edward Ngoyai Lowassa!

Namshauri Sioyi amalizie arobaini ya mzee wake then akwende zake UK akafiche sura yake.
 
Wanajamvi, poleni na majukum na hongereni kwa kuendelea kufungua milango ya mabadiliko ndani ya nchi yetu tukufu iliyopoteza uelekeo kwa upofu, ubinafsi na hira za wanyonyaji wazawa walaghai na wanyonyaji wa kigeni.

Tudadisi kidogo juu ya ushindi wa kijana Nasari, ushindi wa chadema, ushindi wa wanaarumeru, ushindi wa wanaccm wanopenda mabadiliko na ushindi wa watanzania wote waliochoshwa na mwenendo wa kusuasua kimandeleo katika kutekeleza ilani ya ccm isiyotekelezeka kwa vitendo bali kwa maneno,

Nakumbuka wakati wa kampeni huko arumeru wapo watu kadha wa kadha walijitoa kifadha, kimawazo na mda kumpigia chapuo kijana Sioi Sumari, Kijana aliyekimbilia madaraka kabla baba yake hajamaliza siku 40 ardhini, namkumbuka mzee Mkapa, msema ovyo mwigulu nchemba nadhani huyu kuzaliwa alitanguliza miguu kwani mdomo wake unaonekana kuwa na ugonjwa wa vistula, pili tulimuona mzee wetu, mpenda madaraka na mkwilima bwana Edward lowassa aliyedriki kupanda jukwaani kumpigia kampeni mkwe wake lakini mwisho wa siku kaangukia pua.

Maana yake nini?

Tukumbuke zogo lililoshika kasi mda mfupi baada ya sioi kutangazwa, Zengwe liliibuka huku walio wekisema Salakikya kashinda huku wengine wakisema hapana, wengine wakisema hakufikisha asilimia fulani ya wapiga kura, hizo zote lilikuwa zengwe kwani kama walimtangaza mwanzo je hicho kifungu hawakukijua?lakini kimsingi mapambano hayo lisimamiwa vema na Nape Nnawiye, mzee 6, NA CHILIGATI sterling akiwa JK pale magogoni kashikiria remote mambo yote yakijipa, pesa iliyokatwa ni nyngi kwani pamoja na kurudia kupiga kura ya kumpata mgombea wa ccm bado kijana Nasari alishinda, futina ziliendelea ndani ya chama huku wakisema bora tukose kuliko Sioi kupata na mbinu chafu zilikemewa na kuruhusu uchaguzi wa haki bila kuchakachua kama ilivyozoeleka na mwisho CDM wakashinda, HII inaashiria siasa za mnyukano kuanza kasi upya ndani ya ccm! tutegemee makubwa sana na lazima itakuwa hivyo, nyerere alishayaona.

Tafsiri yake ni ipi?

Tafsiri yake ni kwamba, lengo kuu limetimia la kumpata mbunge, lakini kupanda kwa el kupanda kwenye jukwaa na kama Mkwe wake angeshinda kwanza cdm ingekuwa pigo sana kwani arusha ndo ngome ya chama pili Bwana mamvi anga gain momentum kubwa sna na umaarufu wake ungeongezeka sana ila mwisho wake wa kuangukia pua ni dalili mbaya sana kwani duru za kisiasa zinasema jamaa mbinu zake hazina mashiko yoyote pamoja na jeuri ya pesa yake, iwapo haelewani na malendari ndani ya chama, je atawezaje kukamilisha ndoto zake?mungu ni mwema sana na hana kinyongo na mtu, hutoa kwa mtu anachostahili kupata, waliosubortage hii nchi watalipwa taratibu na dunia nzima itashuhudia. asante Mbowe, Dr slaa na makamanda wa chadema chini ya kampeni Manager Vicent Nyerere!


CDM-winner
CCM looser!

GET WELL SOON MACHEMLI-UKEREWE MP
KIWIA HIGHNESS-ILEMELA MP
FITINA ZAO ZINA MWISHO!
 
Politics is a dirty game...
Dirty indeed. Nadhani ni muda mwafaka wa EL kufikiria kustaafu siasa. Ni ushauri wa ubwete tu, anaweza akauchukua ama akauacha
 
EL aendelee kujenga nyumba za ibada aachane na siasa za bongo kabla ya kuumbuka kama zenkapa.
 
GET WELL SOON MACHEMLI-NANSIO MP

Hakuna jimbo linaitwa NANSIO.
 
Anguko la Siyoi ni anguko la Lowasa na ni anguko la Jk aliyempitisha kwenye vikao kwa lazima huku akijua ananuka rushwa na mwisho ni ANGUKO WA CCM.
 
EL aendelee kujenga nyumba za ibada aachane na siasa za bongo kabla ya kuumbuka kama zenkapa.

:lol: nimecheka mpaka tumbo lauma jamani. lowasa kaumbuka. kama kuna siku ambayo lowasa hata kaa aisahau ni siku ya jana pale kijana mdogo masikini kabisa akaweza kuwashikisha adabu matajiri ,wezi wa pesa za umma,mafedhuri na watu wasijali watu wengine, kuweza kupata ushindi wa haki ambao umeweza kuweka historia katika tz yetu. ni kijana joshua nasari ameibuka kidedea! nasema viva joshua nasari, viva joshua nasari, mungu yupo nasi. alaaniwe edward lowasa kwa ghiliba zake za kampeni chafu, kugawa pesa na mashati ya kijani.lowasa alikuwa anajiona eti yeye ni mtu mwenye mvuto arusha, mmmmmm wapiiiiiiii sasa ukweli umejulikana kumbe hana loloooooote lile ni hovyo kabisa. kuna baadhi ya watu wajinga eti wanasema kuwa ccm itamsimamisha lowasa kugombea 2015, kudadadekii walai jaribuni muone cha mtema kuni, yatamkuta yaliyomkuta sioi sumari.
baba alikuwa mbunge, lowasa ( tajiri wa arusha na waziri mkuu aliyejiuzulu kwa wizi) huyu ni mkwe wa sioi. sasa mimi nashangaa, pamoja na sioi kuwa na msururu wa makampena wote hao akina ben mkapa, sijui akina stephane wasira ,mwigulu nchemba, januari makamba,job lusinde tena huyu hana akili hata kidogo anaongea matusi tuuu yeye hana anachokijua kazi yake ni kutukana tu. nimeanza kushikwa na wasiwasi juu ya shule aliyosoma.
CCM MMEKWISHA KAZI NYIE. CHADEMA HOYEEEEEEEEEEEEEEEE.
LOWASA AMEGAWA MAPESA KIBAO WATU WAMETAFUNA NA WAMECHAGUA CHADEMA.
HONGERA CHADEMA, HONGERA MBOWE, HONGERA DR SLAA . HONGERA MAKAMANDA WOOOOTE.
MUNGU AWABARIKI.
 
Nimeona siredi moja humu kwamba Chief fisadi anatafakari uwezekano wa kutimkia CDM. Kama ni kweli na kama CDM wakimkubali Lowasa (fisadi mkuu) ndiyo utakuwa mwisho wao katika siasa za Tz kabisaa. Mimi binafsi nitaikabidhi kadi yangu ya CDM chama chochote hata kama ni PPT Maendeleo.
 
Kimsingi lowassa ameanguka moja kwa moja!!maana ni kweli ana nguvu ndani ya chama ndiyo maana mkwe alipitishwa!lakini kuanguka kwa sioi imethihirisha kuwa ikiwa atatumia nguvu ya pesa na akapitishwa na chama kugombea 2015 kwa wananchi ccm itavuna vijiasilimia vichache vya kura. (samaki nje ya maji atambi like wise lowassa nche ya chama hatambi
 
Husiofu kaka fisadi huyu hana nafasi ndani ya cdm pamoja na kuwa chama cha demokrasia na hakina mipaka, tutamkaribisha atupe pesa zake tutazitumia kuimarisha chama lakini hapati nafasi yoyote ngo, mwendo ni kama wanaarumeru, pesa wanakula lakini kura wanaipeleka panapohusika, na cdm lowasa akija tutafanya hivohivo!
 
Enzi za Ufalme zimepitwa na wakati, msipojitahidi kuondoa umaskini na kuongeza kipato cha watanzania, 2015 hamfiki.
 
ni dhahiri sasa..,ufalme wa lowassa unaanguka na kufikia tamati kama ufalme wa roma au utawala wa gaddafi!

Tulianza na yeye mwenyewe kuanguka uwaziri mkuu mwaka 2008,kwa kashfa ya richmond

na pia kushindwa kwa batilda buriani kwenye uchaguzi wa arusha mjini.2010 (huyu ni mtu wa lowassa)

na pia kushindwa kwa james ole milya kwenye kura za maoni ccm.mwaka 2010 na vile vile kutoswa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea ubunge afrika mashariki mwaka huu. (huyu ni kibaraka wa lowassa)

na pia kushindwa kwa mkwe wake sioi sumari kwenye ubunge wa arumeru mashariki..,ni pigo kubwa vile vile kwa mheshimiwa lowassa...,

hii ni dhahiri ufalme wa lowassa unafikia mwisho ukizingatia anapata upinzani ndani ya chama chake na vile vile kutoka kwa chadema (nguvu ya umma)

namfananisha lowassa na hayati muamar gaddafi jinsi utawala wake ulivyoanguka ni kama sasa hvivi waasi wameuzunguka mji wa tripoli (chadema) na wamarekani wakimpiga mabomu (ccm-kundi la sitta)..,kazi ipo kwa yule mtoto wake wa kigoma (peter serukamba..mbunge kigoma mjini) na yeye mwenyewe anayepatwa na shinikizo la kujivua gamba..!

Sasa ni muda wa mh.lowassa kufanya maamuzi magumu..kukimbia ama kufa kiume kama gaddaffi


umesahau moja, ni pale alipotaka kumnyang'anya jk uenyekiti wa chama na pia nec ilipogaragaza mpango wa kutaka wabunge waendelee kuwa wajumbe ili waje wampitishe. Ha ha ha ha ha ha hahahahahahahahahahahahahahahahahah
 
Ubunge tu,, huo kwao ataupata maana nasikia monduli huwaambii kitu kuhusu huyu mwanasiasa aliyefulia


Atang'oka tu, ye nani bana, Mungu? Nani kakwambia masai aliyesoma Monduli ni EL tu? Huo ukanda tumeshasema hatutaki upuuzi hata tone. Sasa tajeti ni EL na Sendeka, wakae mkao wa ku*y*!

SILOO BATI SHUWA!​
 
ngoja nianze kujenga nyumba kutokana na hela tuliyogawiwa na ccm arumeru, halafu kura tukapeleka chadema
 
sikio la kufa halisikii dawa.Lowassa anaelekea ukingoni,poleni wapambe wake!!!!!!
 
Lowassa sasa ni Jeshi la mtu mmoja! Hahahaha! Ngoja washikane uchawi wenyewe kwa wenyewe, pipoz inasonga!
 
Back
Top Bottom