Matokeo ya Arumeru: Salaam kwa Edward Ngoyai Lowassa!

TUMECHAPA.., HATUJACHAPAAA!!??!!
Watu eee TUMECHAPAAAAAAaaa! Na kichapo moja Kwa Moja.. Kwani polisi wao ni watu Wa wapi? Ni watanzania vilevile.. Kuwaburuzia wamwage dam hiyo haipo aisee.. Ha ha haaaaa... Aisee ntacheka Mie.. Mnatengeneza kikosi kazi fresh cha kuchakachua Kura halafu kikosi hicho hicho kinavujisha siri CDM.. Mnajaribu kupenyeza Kura mlizojipigia kisha Hao Hao watu Wenu wanavujisha Siri Kwa CDM. Yaani ni ulemavu wa kifikra Wa karne kudhani wote jeshi la wananchi, Polisi, Magereza, watumishi wa serikali kwamba wote ni CCM damdam.. Ni Ukengeufu uliokomaa Na nuksan..
 
Tatizo viongozi wetu ccm sio wasikivu,sisi kama washabiki wafurukutwa tulitoa angalizo hapa,kwamba Lowassa asipewe nafasi ya kushiriki kampeni,kina Nape wakao humu kila siku hawakutaka kutusikiliza tuliwakumbusha uchaguzi wa ubunge arusha mjini jinsi lowassa na mgombea wake yule mama walivyotukosesha ushindi kutokana matatizo ya ufiasadi,tumerudia kosa lile lile leo arusha ambako husemekana ndio ngome ya arusha chama kinapoteza jimbo la pili huku kina millya wakitazama,siasa sio pesa ni strategies maana huwezi kuwanunua waoiga kura jimbo zima.Hili liwe fundisho kwa ccm lowassa atakicost chama zaidi huko tuendako,mwenyekiti ichukue hii kama changamoto even if unampenda rafiki yako ambae anadai hamkukutana barabarani kiasi gani,jamaa ni mzigo,iweje kila anapotia mkono na kuweka mgombea wake tunaanguka,hizo ni hasira za wananchi dhidi ya mafisadi na ufisadi.
 
Kwa ujumla wewe na wengine wengi mmechagua upande mbaya wa historia.
Mlianza kwa matusi na mnamaliza kwa matusi.
 
Tatizo viongozi wetu ccm sio wasikivu,sisi kama washabiki wafurukutwa tulitoa angalizo hapa,kwamba Lowassa asipewe nafasi ya kushiriki kampeni,kina Nape wakao humu kila siku hawakutaka kutusikiliza tuliwakumbusha uchaguzi wa ubunge arusha mjini jinsi lowassa na mgombea wake yule mama walivyotukosesha ushindi kutokana matatizo ya ufiasadi,tumerudia kosa lile lile leo arusha ambako husemekana ndio ngome ya arusha chama kinapoteza jimbo la pili huku kina millya wakitazama,siasa sio pesa ni strategies maana huwezi kuwanunua waoiga kura jimbo zima.Hili liwe fundisho kwa ccm lowassa atakicost chama zaidi huko tuendako,mwenyekiti ichukue hii kama changamoto even if unampenda rafiki yako ambae anadai hamkukutana barabarani kiasi gani,jamaa ni mzigo,iweje kila anapotia mkono na kuweka mgombea wake tunaanguka,hizo ni hasira za wananchi dhidi ya mafisadi na ufisadi.

KIM,

..tatizo ni kwamba CCM imekuwa madarakani kwa muda mrefu lakini rekodi yake ya utendaji siyo nzuri.

..Lowassa amekwenda Arumeru wiki ya mwisho ya kampeni, sasa mnataka kumbebesha zigo la lawama za kushindwa.

..pia mgombea wa CCM hakuwa mzuri/sharp kulinganisha na yule wa CDM.

NB:

..waelekezeni Tume ya Uchaguzi wa-update daftari la kupiga kura sasa hivi. kinyume chake mnajenga kundi kubwa lenye hasira ya kupiga kura ya chuki dhidi ya CCM come 2015.
 
we unajua part aliyoplay toka kwenye mchakato wa ndani wa kura za maoni?

kama ni mfuatiliaji wa thread mbalimbali humu utakumbuka ushindi huu wa chadema niliuona mapema mimi, kuna thread niliiweka mapema hapa ndani baada ya sioi kupitishwa kuwa mgombea,nilisema japo watu waliichukulia kama utani,"chadema mkishindwa safari hii mjinyonge"

watu wa chadema walinishambulia sana wakijua nawasanifu lakini nilikua nimeouona mkono wa lowassa ulivyokigawa chama arumeru,lowassa is a disaster!
 
Hongera wana arumeru kwa kuelewa kilichofanyika mbulu, karatu, moshi, hai, rombo nk. Ila Tusipoteze mwelekeo wa mjadala kuhusu CCM kwa kumtoa Lowasssa kafari. Ukisoma vizuri historia za makundi, teams na vyama vinavyoongoza ama sera aubitikadi, huwa vinachokwa inapofika mzunguko wa nusu karne tangu vianze..
 
we unajua part aliyoplay toka kwenye mchakato wa ndani wa kura za maoni?

kama ni mfuatiliaji wa thread mbalimbali humu utakumbuka ushindi huu wa chadema niliuona mapema mimi, kuna thread niliiweka mapema hapa ndani baada ya sioi kupitishwa kuwa mgombea,nilisema japo watu waliichukulia kama utani,"chadema mkishindwa safari hii mjinyonge"

watu wa chadema walinishambulia sana wakijua nawasanifu lakini nilikua nimeouona mkono wa lowassa ulivyokigawa chama arumeru,lowassa is a disaster!

KIM,

..moja: rekodi ya utendaji ya CCM siyo nzuri.

..pili: mgombea wenu alikuwa mbovu.

..hilo la pili unaweza kumlaumu Lowassa kutokana na uhusiano wake wa kifamilia na Siyoi Sumari, lakini kuhusu rekodi mbaya ya utendaji hiyo imeanzia mbali, na inakichafua chama kizima.

..wimbo uliobaki ni amani na umoja, lakini na haya mapanga mnayowafyeka wananchi, na matindikali mnayowamwagia, sijui kama mtaweza kuwashawishi wananchi kwamba CCM inajenga amani na umoja.

NB:

..how about Kirumba and Kiwira? What excuse do u have??

..hata Kigamboni kura za CUF + CDM ni zaidi ya kura za mgombea wa CCM aliyeshinda.
 
Mjadala upewe uzito unaostahili. Tusianze kutetea na kusafisha CCM hapa kwa kisingizio cha kumshughulikia Lowassa. Aliyeshindwa ni CCM na mfumo mzima wa chama hicho. Mkapa, Lowassa, Kikwete, Msekwa, Wassira, Nape, Nchemba, Lusinde na wote walioshiriki siasa hizo ndani ya chama. Naogopa tukim-single out Lowassa tunajikuta tunatuma ujumbe nusu nusu kwa jamii. La msingi ni hili hapa: Ushindi huu wa Chadema ni wake up call kwa CCM nzima!

Ni kweli umesema vema.Ngoja nikalale sasa
 
Hongereni sana makanda wote.

Hapa sasa ccm kumlaumu Lowa-hasa kwa kushindwa arumeru ni unafiki wenu huo.

Kama mlijua kwamba Sioyi alipata boost ya kura maoni kwa kutumia rushwa baba mkwe akiwa ndio mfadhili wake kwanini msikate jina lake hata baada ya takukuru kuwakamata na ushahidi wapambe wake?

Simtete lowahasa lakini katika hili, ndani ya ccm lowahasa ndiye kinara na huenda mmehujumiana ili mpate cha kusema.
 
Hili la Arumeru lime conclude kwamba huyu Bwana pamoja na tambo na mbwembwe zote hana mvuto kiasi hicho tunachotaka kuaminishwa. Hata Urais anaotaka kugombea ataangukia pua,, hili ndilo litakuwa pigo lake la mwisho na pengine litamuathiri kabisa kiafya. Wako wanasiasa wengine wenye umri mzuri tu wa kugombea urais,, ila si huyu tia maji tia maji
 
Kuwa na nguvu!! Nguvu anazo, na ndio maana hata wewe leo unamjadili. Hapa ukweli ni kwamba nguvu zake zitaiponza CCM na Arumeru ni ishara tosha kwamba nguvu za fedha zina mwisho wake, haziwezi kushinda nguvu ya HAKI. Ni kanuni ya zama zote, HAKI hushinda MALI tokea enzi za Taurati na Injili. Lowassa kama ni mwanasiasa wa kweli, atapumzika ale alichonacho, awajenge vijana wake wasonge mbele. Hata Siyoi, hakuwa na ubaya sana, bali Lowassa ndiye amemponza na yeye anajua ndio maana alienda akisema, "siwezi kuacha kumfanyia kampeni maana anaandamwa na kupingwa kwa sababu yangu."
 
Kuwa na nguvu!! Nguvu anazo, na ndio maana hata wewe leo unamjadili. Hapa ukweli ni kwamba nguvu zake zitaiponza CCM na Arumeru ni ishara tosha kwamba nguvu za fedha zina mwisho wake,
Sasa unapokuwa na nguvu huku unapigwa mchana kweupe maana ya nguvu zako ni nini? Ni kwamba wako wenye nguvu kuliko wewe. Mtoto wako anaporefuka,,, anakuona wewe umekuwa mfupi.
 
Back
Top Bottom