Unajua hata wana CCM sasa wanafeel ile nguvu ya umma. Damu ni nzito kuliko maji lakini ukweli wa mambo unaifanya damu kuwa hata nyepsi kuliko maji. Wanaccm bado wanakipenda chama chao, lakini sera za CHADEMA zinawafanya wajiuluze mara mbili mbili na ukweli ni kwamba hawawezi kupingana nazo maana ni za kweli na zinagusa maisha yao moja kwa moja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.