Azathioprine
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 588
- 371
Mimi ni mwanakitengo na niko kwa kazi maalum tume hapa. Simpendi Lowassa lakini ukiondoa matokeo ya Dsm na Arusha kwa ujumla anaongoza kwa tofauti ya kura 3,437,215.
Wakuu wamechanganyikiwa. Hawajui cha kufanya. Wanajaribu kuchakachua.
Lowassa anaongoza ila Mkuu hataki.
Mmh, Mkuu usifanye propaganda tafadhari.. Tupe ushaidi wana mabadiliko tujue cha kufanya mtaani.