Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,789
- 4,243
NEC imeanzia Zanzibar, ngome ya Unguja.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mawili ni ya Zanzibar..........Lulindi ndio la Mtwara.Makubwa hay o majimbo,mtwara au lindi
Mchezo wao utafeli kama kweli wanafanya hivyo.Tume wanaplay psychological game, wanaanza kutangaza majimbo ambayo ni ngome, haiingii akilini unapata matokea ya unguja na Mtwara unashindwa kupata ya Dar es Salaam where you are centered. Tunaandaliwa kukubali matokeo.
Tume wanaplay psychological game, wanaanza kutangaza majimbo ambayo ni ngome, haiingii akilini unapata matokea ya unguja na Mtwara unashindwa kupata ya Dar es Salaam where you are centered. Tunaandaliwa kukubali matokeo.
Tume imeanza kutangaza matokeo halisi ya urais kutoka kwenye majimbo kadri wanavyoyapokea, ambapo hadi sasa tayari matokeo ya majimbo matatu yameshatangazwa yakionyesha John Pombe Magufuli anaongoza.
Kwa upinzani makini ni wakati mwafaka muwe mnatoa tathimin ya matokeo hayo. Tathmini yenu ijikite kuhakiki matokeo ya tume na yenu mliyokuwa mnakusanya.
Kuna faida mkuu mbili,
Mosi; kuifanya tume iwe makini na kuto-temper na matokeo kwa vile watajua kuwa endapo watatangaza kinyume mtawaumbua.
Pili: kuwaaminisha wafuasi wenu kuwa kura walizowapeni ziko kwenye mikono salama.
Good lucky.
Huko mnakoelekea sasa SIKO, kweli tangu jana.ni majimbo MATATU tuuu, noooo ma wasi wasii, kwa nn maitre matokeo kwa muda mnapindishapindisha ulionao hivi ni dalili mbaya na mnawapa hasira wananchi, amani ya Tanzania Iko mikononi mwenu msituharibie amani tumefanya uchaguzi wetu kwa amani na.tunaomba matokeo kwa amani kama tulivyozipiga msitupindishie habari.watanzania TUNATAKA amani yetu bado tunaihitaji saaana, tunaomba msiwe chanzo cha vurugu ya Tanzania, pepo ibilisi lililoingia NDANI ya nec tumalikemea kwan linataka KUTULETEA shidaaa watanzania
Aiseeeeee
Ukawa tumedondoka sana.
Yafanane na yale yanayojumlishwa na Ukawa.
Yakitofautiana watueleze imekuwaje hayafanani?
Yafanane na yale yanayojumlishwa na Ukawa.
Yakitofautiana watueleze imekuwaje hayafanani?