Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

Aliiba na ndo maana mkwera alipomfuata Ikulu alimchama kwamba fedha anaholalamikia hajaikuta ndo ilimfanya awe pale mjengoni
Tanzaniarevolution 26/04/2018
Maandamano mkubwa ya wananchi
IMG_20180312_011536_988.jpg
 
Vip
Huko mnakoelekea sasa SIKO, kweli tangu jana.ni majimbo MATATU tuuu, noooo ma wasi wasii, kwa nn maitre matokeo kwa muda mnapindishapindisha ulionao hivi ni dalili mbaya na mnawapa hasira wananchi, amani ya Tanzania Iko mikononi mwenu msituharibie amani tumefanya uchaguzi wetu kwa amani na.tunaomba matokeo kwa amani kama tulivyozipiga msitupindishie habari.watanzania TUNATAKA amani yetu bado tunaihitaji saaana, tunaomba msiwe chanzo cha vurugu ya Tanzania, pepo ibilisi lililoingia NDANI ya nec tumalikemea kwan linataka KUTULETEA shidaaa watanzania
Unayakumbuka Maneno Haya we mkata viuno
 
Uzi mtamu, hapo Magufuli watu 2015 walikuwa na matuimaini naye makubwa.

Ghafla 2020 walichokuwa wanatumaini kuhusu Magufuli hawajapata wala hakuna matumaini kitapatikana.

Uzi huu ni wa kiHistoria unaonesha wananchi watapiga kura vipi 2020 wamuongezee au wampunguzie Magufuli na kumjazia kwa wingi Tundu Antipas Lissu.

Tumeona kile kinachoitwa takwimu rasmi za matokeo ya uchaguzi 2015.

28 October 2020 kazi kwetu tutoke tukapige kura nyingi za mabadiliko kwa nafasi ya Urais, wabunge na madiwani.
 
Back
Top Bottom