MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
ngarenanyuki ccm 197..,cdm 46
king'ori.., ccm 112..,cdm 32
makiba ccm 93..,51cdm
patandi ccm 139..,87cdm
ambureni ccm 147..,34cdm
nkoariasambu ccm 104..,43cdm
kimundo ccm 67..,56cdm
sing'isi ccm 93..,49cdm
ngwaranga ccm 134..,33cdm..!

Nitaendelea kutoa updates zaidi...!

Endelea kutafuta vituo ambavyo CCM magamba imeshinda ili mjifaliji. Lakini mwisho wa yote CHADEMA KIDEDEA.
 
ITV sasa wamebadilika, CDM walianza kwa kasi kwenye vituo vya mijini Leguruki CDM wamepigwa kwa tofauti ya kura kibao, naona TUMAINI MAKENE kasimamisha zoezi la kuupdate matokeo. sijajua sababu lakini huenda hali sio nzuri.
 
kwakweli chadema ikishinda arumeru, itatutia sana moyo sis wanyonge. ushindi ktk hili jimbo utaongeza sana awareness ya M4C nchini kote.
Mungu awabariki wote wanashiriki ktk zoezi hili na ktk kutetea haki za wanyonge. AMEN

m4c ndo mdudu gani?
 
kwa mujibu wa radio one kumekamatwa kura feki 1000 zilikuwa zinajaribu kupenyezwa kwenye vituo waliokamata ni vijana wa cdm wamewakabidhi polisi watuhumiwa bado haijajulikana ni wa chama gani
 
Ni ngumu chadema kushinda arumeru kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
 
Chadema endeleni kujipa moyo. Subirini matokeo ya TUME YA UCHAGUZI.
 
"kufikia kesho asubuhi saa moja matokeo yatakua tayari" ......... hapa ndo tunapigiwa wa CDM wenzangu, yani matokeo yakilala tu, kwisha kazi yetu.

source: MLIMANI TV
 
Hakika Pasco wewe ni mnafiki mkubwa.....

Hivi si wewe kuna kipindi ulisema kwamba CCM tayari(mara baada ya kumpitisha Siyoi) imeshinda jimbo la Arumeru na kinachofanyika ni kufuata utaratibu tu.....

Halafu......Hivi ni sahihi kusema CCM imepata kiigo cha mbwa mwizi kwa matokeo ya vituo visivyozidi 100 ilhali jimbo lina vituo zaidi ya 300?....

Hypocrisy???.....

Pasco njaa kali huna lolote wewe Pambaaafffffffffff zako,linafiki likubwa weweeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!.
 
ITV sasa wamebadilika, CDM walianza kwa kasi kwenye vituo vya mijini Leguruki CDM wamepigwa kwa tofauti ya kura kibao, naona TUMAINI MAKENE kasimamisha zoezi la kuupdate matokeo. sijajua sababu lakini huenda hali sio nzuri.

Tofauti ya kura 400 tu acha uongo wewe gamba!
 
CDM wanachkera ni ushabiki, yaani hawapo realistic, mi nafikiri tusubiri wamalize kutangaza matokeo ndio tushabikie. Wngine mnatutia pressure tu hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom