MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
Sehemu hiyo lazima tufanye uchunguzi hapo hata kama tukishinda cdm hili liwe fundisho.

hapa lazima tumeibiwa, itv wamethibitisha kuwa kuna kurra zilitaka kuibiwa sasa zikakamatwa, hatujui ni eki ngapi zilifanikiwa kupita
 
mpaka sasa nitashangaa sana nikisikia Yanga imeshinda huko Arumeru maana asilimia 90 ya vituo vyote vilivyotangazwa mpaka sasa wekundu wa msimbazi wanaongoza
novatus makunga akiripoti anaonyesha huko Leguruki cdm wanabamizwa mbaya !
 
Mpaka sasa...

Kituo cha Shule ya Msingi Misufini, Kata ya Mbuguni

misufini "A1"CHADEMA 209, CCM 52

misufini "A2" CHADEMA 195, CCM 40

misufini "A3" CHADEMA 208, CCM 45


Makiba Majengo 02, CCM 87, CHADEMA 93,

Ofisi ya Kata Majengo (Makiba) 04, CHADEMA 75, CCM 88, DP 2 jumla 166, iliyoharibika 1.

Kituo cha Shule ya Msingi Ambureni O2, DP 1, AFP 1, CCM 47, CHADEMA 194,

Usa River Shule ya Msingi CHADEMA 111, CCM 37

Enguseni a CHADEMA 114 CCM 62

Leganga CHADEMA 142 CCM 26

Magadirisho1 - CHADEMA 116 CCM 37

Magadirisho2 - CHADEMA 111 ccm 37

s/m leganga - CHADEMA 142 CCM 26

Majiachai A,B,C,D,E CHADEMA 573, CCM 276

Kituo kingine Makiba, CHADEMA 23, CCM 95,

Ofisi ya Kata Makiba CCM 107, CHADEMA 127,

Shule ya Msingi Miembeni namba 01, CCM 103, CHADEMA 96

Kikatiti CHADEMA 104 CCM 62

Tengeru chuoni CHADEMA 114, CCM 24

Tengeru hospt CHADEMA 220, CCM 40

Kikuleto ofisini CHADEMA 104, CCM 84

Makumira A = CHADEMA 118, CCM 42

Makumira B - CHADEMA 100, CCM 42

Makumira C - CHADEMA 92, CCM 50

Makumira D - CHADEMA 68, CCM 40

ngaresero 116 51

kisambale "1" 110 63

kisambale "2" 113 56


s/m mazoezi(patandi) "1" 120 49


'' '' "2" 128 50

" " "3" 127 50

" " "4" 124 45

Leguruki ccm=1255 cdm=874
 
Lenguruki
ccm 100 cdm 56
ccm 88 cdm 55
ccm 76 cdm 44

ccm 128 cdm 82
ccm 105 cdm 58
ccm 101 cdm 57
ccm 94 cdm 30
ccm 188 cdm 66

Ok kwahyo ccm imeshinda vituo 8 tu kati ya vyote vilivytangazwa zaidi ya 50,asante kwa kutuchambulia
 
wanabodi,
sie tulioko maporini huku kwa obama tunategemea sana taarifa za matokeo toka kwenu,chonde chonde msiache kutujuza. Kwa haraka haraka naona chadema wanathubutu aisee, ila yao dawa ni kituo cha mwisho!
 
kaz ipo nimegundua wa2 mmeweka mbele ushabki aisee kibao kmegeuka vbaya
 
mtaji wa ccm ni vijijini wakat cdm town but this time hata village cdm wamejitahidi kwa uwezo wao!
 
Haya matokeo ya awali yanaakisi ukweli na mawazo ya wengi. Ila wasiwasi wangu hawa jamaa hawachelewi kuchukua na kuweka waah!!!
 
hii raha kwa cdm !
Yaan nataman turudie uchaguz kote!!
 
Olkung'wado CDM kidedea 137..,ccm 82. nawasiliana na jamaa yuko sura kata ya songoro anipe updates za huko.,ila mawasiliano yanasumbua baada ya muda nafikiri nitakuwa nimeyapata...!
 
Wanabodi kwa kadri matokeo ya awali ya Arumeru yanavyozidi kutoka, vituo vyote vilivyotangaza matokeo ya awali hakuna hata kituo kimoja ambacho CCM inaongoza!.

Inawezekana CCM imekula kipigo cha mbwa mwizi!.

Mimi nilijiaminisha uchaguzi ulisha kwisha kitambo leo ilikuwa ni uthibitisho tuu!.
wanapo hesabu kwa jumla wasije wakatuchakachua mana magamba bwana ni ezi sana
 
Wanabodi kwa kadri matokeo ya awali ya Arumeru yanavyozidi kutoka, vituo vyote vilivyotangaza matokeo ya awali hakuna hata kituo kimoja ambacho CCM inaongoza!.

Inawezekana CCM imekula kipigo cha mbwa mwizi!.

Mimi nilijiaminisha uchaguzi ulisha kwisha kitambo leo ilikuwa ni uthibitisho tuu!.

Hakika Pasco wewe ni mnafiki mkubwa.....

Hivi si wewe kuna kipindi ulisema kwamba CCM tayari(mara baada ya kumpitisha Siyoi) imeshinda jimbo la Arumeru na kinachofanyika ni kufuata utaratibu tu.....

Halafu......Hivi ni sahihi kusema CCM imepata kiigo cha mbwa mwizi kwa matokeo ya vituo visivyozidi 100 ilhali jimbo lina vituo zaidi ya 300?....

Hypocrisy???.....

Ngoma bado mbichi, kama Busanda na Bi'mulo Chadema mijini, CCM vijijini!.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom