MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
mpaka sasa nitashangaa sana nikisikia Yanga imeshinda huko Arumeru maana asilimia 90 ya vituo vyote vilivyotangazwa mpaka sasa wekundu wa msimbazi wanaongoza
 
kwa mjibu wa tumain makene chadema wanaongoza kwa kura zaidi ya 2,425

kati ya ngapi mkuu tunataka tujue vituo vipo vingi kweli zaidi ya miatatu na hv vya makene hata 50 havijafika, kweli kazi ipo!
 
sijui kama chadema waliweka ulinzi vijijini hapo ndio hatari
 
Nimeshindwa kuvumilia,nakwenda USA River nikashuhudie kwa macho yangu,nimechoka kukaa kwenye kochi kuangalia ITV na Live from Arumeru,nimeshanunua maji lita 1.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
hata hivo haitishi ukilinganisha na matokeo ya awali.
Ushindi ni WA uhakika kwa cdm
 
hii tamu sana, ila kuna kituo eti ccm wamepata zaidi ya 1400 wakati cdm hata 2 hawajafika, hapa panahitaji uchunguzi, tutaibiwa hadi lini?

Sehemu hiyo lazima tufanye uchunguzi hapo hata kama tukishinda cdm hili liwe fundisho.
 
leguruki, katika vituo 12, cdm wanaongoza katikaa vituo 4 ccm wanaongoza katika vituo 8
 
makunga tym leguruki

ofisi ya kata
ccm 160 cdm 78

ofisi ya maruango
a. ccm 72 cdm 121
b.ccm 63 cdm 120
c.ccm80 cdm106
shiston shule y amsingi
a ccm 100 cdm 59
b ccm 88 cdm 55
c,ccm 79 cdm 44

ofis ya kijiji
a.ccm 128 cdm 82
kituo mirirm s/m
a.ccm 105 cdm 58
b.ccm 101cdm 57

sinai s/m
ccm 94 cdm 30

ccm 188 cdm 96
 
Lenguruki
ccm 100 cdm 56
ccm 88 cdm 55
ccm 76 cdm 44

ccm 128 cdm 82
ccm 105 cdm 58
ccm 101 cdm 57
ccm 94 cdm 30
ccm 188 cdm 66
 
kati ya ngapi mkuu tunataka tujue vituo vipo vingi kweli zaidi ya miatatu na hv vya makene hata 50 havijafika, kweli kazi ipo!

Pamoja sana,ni vituo vingapi wameshatangaza kati ya hivyo zaidi ya mia tatu??
 
kwakweli chadema ikishinda arumeru, itatutia sana moyo sis wanyonge. ushindi ktk hili jimbo utaongeza sana awareness ya M4C nchini kote.
Mungu awabariki wote wanashiriki ktk zoezi hili na ktk kutetea haki za wanyonge. AMEN
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom